kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,154
Kwa hizi muvi za hii serikali mpaka 2020 tutakua tumekwisha kiuchumi
viwanda hakuna sasa ni viwonder tu
Kick tu
kutafuta misifa
Kudeal na mambo ya ajabu yasio na msingi
Kupoteza pesa za misaada mapato na vikwazo maana demokrasia imeanza kuminywa
Hii nchi sijui viongozi wamekua vipi mimi naona wapo wapo tu
Sera kama hizi zinaua taifa kiuchumi kabisa