Recent content by bichwa72

  1. bichwa72

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikikutana naye nashindwa kufanya nae mapenzi

    Shegh! Likuepukalo lina heri nawe apo cha msingi ni kuachana na hilo suala na kumrudia Muumba wako kwani bado anakupenda! Jeee! Ulishawahi kumpitisha mbuzi kwenye maji ukiwa unamvuta kamba na jee uliweza kumvuta akapita?
  2. bichwa72

    JamiiForums Tanzania Jamani tuache huu upotoshaji

    Lazima iwepo 7bb mambo yetu sisi hayatengenezwi na binaadamu yapo tayari na yametulia na katu hatuwezi kukufateni nyinyi mnoamua sheria za Muumba kuzibadili na kuziweka za kwenu ambazo mlozitunga kwa maslahi yenu ya kidunia!
  3. bichwa72

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Tiba

    Hivi kuna uwezekano wa mtu kupangizia uzazi ikiwa unataka mtoto wa kike ama wa kiume au kama unataka watoto ''twins'' pacha! na kama upo uwezekano naomba nifahamishwe.
  4. bichwa72

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Tiba

    kila nimalizapo tendo la ndoa mara ya kwanza nikitaka tena mara ya pili inaniwiya vigumu nami bado nnakuwa nna hamu naomba msaada wenu wazee wa tiba.
  5. bichwa72

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kiswahili

    Naomba nifahamishwe kiswahili safi kabisa katika bara la Afrika kinazungumzwa nchi gani?
  6. bichwa72

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kiswahili

    Naomba mnijulishe neno ukiritimba ni kiswahili sahihi na kama ni kiswahili sahihi kwa lugha ya kigeni ya kiengereza linatamkwaje?
  7. bichwa72

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kiswahili

    Kuna ubaya gani wa lugha yetu tuliozaliwa nayo isiwe ya kutungiwa mitihani ya Taifa?
  8. bichwa72

    JamiiForums Tanzania Kuhusiana na majamboz

    Natafuta mchumba mwenye wa kike umri kati ya 20 - 28 popote alipo awasiliane nami.
  9. bichwa72

    JamiiForums Tanzania Kuhusiana na majamboz

    Tatizo langu ninapofanya tendo la ndoa mara moja mara ya pili inaniwiya vigumu wakati hamu bado nakuwa nayo naomba msaada.
Back
Top Bottom