Recent content by Bibi shamba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nyie baby daddies mnatutesa sana hamjui tu. Mwenzenu niko njia panda sielewi

    Ninayo biashara ninacho kiwanja ila tu kwa sababu nimezaa na mtoto hana baba wanaona siwezi jisimamia na naogopa kuondoka kwa shari wao ndio ndugu zangu kwa shida na raha naweza leta kiburi yakinshinda ntaludi wapi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nyie baby daddies mnatutesa sana hamjui tu. Mwenzenu niko njia panda sielewi

    Najua tu hesabu mkuu kuandika sijawai kua mwandishi mzuri hata mwandiko wangu mwenyewe sometimes nashndwa kusoma unisamehe kwa ilo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nyie baby daddies mnatutesa sana hamjui tu. Mwenzenu niko njia panda sielewi

    Haikua bahati mbaya tulipanga kupata mtoto but ikatokea tu hataki tena na akataka nitoe kitendo cha kukataa kutoa hapo ndo imekua vita adi leo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nyie baby daddies mnatutesa sana hamjui tu. Mwenzenu niko njia panda sielewi

    Single mother umekua wimbo saizi, kesi zetu ni nyingi tunachekwa na kudiscussiwa sana but ndo ishatokea Maisha hayana rewind button. Haya wajameni ushauli wenu ni muhim kwa single mother mim, Kwanza nimshukulu Mungu kwa yote despite Maisha ya usingle mother kua na changamoto namshukulu kwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Lamination Mashine inauzwa

    New lamination mashine inauzwa inahitajika hela fasta tuokoe Maisha ya mgonjwa Price 80 Location Mbeya PM FOR MORE INFO
  6. B

    JamiiForums Tanzania May the good Lord remember all the unhappy souls

    Kuna wakati kipindi Cha huzuni kinakua kirefu kias kwamba hata ujaribu kua strong kuna mda u just can't take it anymore. May the good Lord remember all the unhappy souls.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaopiga wake zenu

    Japo alichoongea n kweli ingawa naona aibu mim kusoma, n kweli wapo wanaume wa ivo miaka Mingi imepita niliwai kua na mwanaume wa ivo. Lakin usiombe n hatari na balaa, anaweza kukufanya uwe tasa, sisapot kupiga but hata io mhhhh hapana nayo ni hatari.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaopiga wake zenu

    Duu we dada una maneno makali! mhh tuwe na kiasi jaman.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Wa uzi wangu wa mke wangu ni tatizo

    Ulishawai kuja kuomba ushauri una matatizo ya nguvu za kiume vipi umepona?[emoji848][emoji848]
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Kama atakupa ya hospital fyn but ata io nilioandika inaweza kusaidia but usijichue tena na kama una mwanamke tafuta anaekupenda na umueleze nipo kwa matibabu soon I'll be ok
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Sawa mkuu ngoja niandike hapa naweletea tiba ambayo inatibu kwa utaratbu jaman sio busta kwamba ukinywa saiz kesho inafanya kazi no hii inaenda taratibu Naweletea ua linaitwa periwinkle au kikwetu kwetu linaitwa star of jerusalem ntaatach picha ili muone msijali So tatzo la upungufu wa nguvu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Anha kuna post nililpost ya natural ways ya kutibu ilo tatzo naona sijui ndo admin aliidelete though ilikua inaeleza mengi unayoeleza apo psychological issues sijui pombe na mengine mengi japo ilikua post ya kiswahili au kupost umu inatakiwa iwe tiba ya hospital? Kwa sababu nilishea bure coz...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    No hamna mwenye tatizo afu sijaomba mapendekezo but nimeuliza mtu alifanya nin adi akapona ili na wengine wakisoma wajifunze
Back
Top Bottom