Recent content by BiasharaMafanikio-Athanas

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ila wanawake ni "selective" mno!

    Wanaume wengi wanaumia na wanapata matatizo kwa sababu hawajikubali na kujiamini. Cha muhimu kupita yote ni thamani yako kwanza. Tuamke vijana. Ahsante
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mabinti ndio sababu ya vijana wengi kusema uongo

    Hii ni sahihi kabisa mkuu🤝
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Ahsante sana mkuu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Hiyo bei mimi nakufikishia kwako, namaanisha gharama zote ni juu yangu wewe unapokea mchele wako na kuanza kuuza au kuutumia utakavyo wewe mkuu. Ahsante
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Mtazamo tu mkuu, issue ni kueleweshana. Ahsante
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Sawa hakuna shida, nitakujulisha nikipata plot
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Ni sahihi mkuu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Wilaya ni Songwe
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Sawa sawa, nimekuelewa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Ahsante sana, nitafute tani ngapi mkuu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Ahsante sana, kweli kuanzia mwishoni mwa mwezi wa tano mpaka sasa bado baadhi ya sehemu wanaendelea kuvuna mpunga hivyo mchele kwa sasa unapatikana kwa wingi sana ndio maana soko limekua gumu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Wilaya mpya ya Songwe, kanda za juu kusini. Sehemu zipo mkuu issue ni kufika site na kwenda kutafuta wamiliki wa maeneo hayo
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Bidhaa ya mchele inauzwa kulingana na ubora wake ndio maana utashangaa kuona mchele unauzwa mpaka 1600-1800 kwa sababu umekatika sana wakati wanakoboa na wakati mwingine unakua mchafu. Ukiona bei hizi ni kubwa sababu ni mzuri, umenyooka na ni msafi. Karibuni wadau wengine pia wanaojua zaidi na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mchele

    Biashara ya mchele. Biashara ya mchele ni nzuri sana ukipata soko, nawaombeni wakuu yeyote mwenye ushauri, mawazo na msaada wa soko la mchele, natoa mchele wilaya mpya ya Songwe pembezoni mwa ziwa Rukwa. Bidhaa hii ya mchele ni nzuri sana na umenyooka na unanukia vizuri. Karibuni sana...
Back
Top Bottom