Recent content by Bi kipipa

  1. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Dah cjui ndo tunasubiri kuexpire 😥
  2. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Cha msingi ni mtu akifika oral na kufaulu apangiwe kitu cha kazi....hi kurudi rudia usahili inachosha sana
  3. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tuseme system inacheza wakiwa wanaupload au..yote kwa yote tuwaachie wao tu,siku ikifika imefika
  4. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mwenye shibe hamjui mwenye njaa
  5. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Haya mambo haya tusiyazingatie sana mtu unakuwa database nahuitwi kazini maana yake nini sasa,,,hawajui tu maumivu tunayopitia unaenda interview mara kibao uko tu database kazini huitwi..mwisho wa siku unakutana na stutus ya database expered,haya ni maumivu yasiyo na kipimo,, et uanze tena upya Dah
Back
Top Bottom