Recent content by Bhumare57

  1. B

    Kati ya Nadir Haroub Cannavaro na Victor Costa nani anapaswa kuwa beki bora wa muda wote Tanzania

    Ama kweli simulizi hii naifananisha na ya yule kipofu aliyebahatika kuona kwa muda ! hamad mbele yake kuna punda!!! Laiti kama ungebahatika kumuona George Masatu au Jella Mtagwa au Leodgar Tenga au hata Juma Shabani usingethubutu kuleta kichekesho chako humu!!!!.
  2. B

    Hivi biashara ya mayai ya kware iliishia wapi jamani?

    Bro Tulimumu utashangaa sanaaaa!!!!! je umesahau kikombe cha "BABU" vipi kuhusu mihogo mibichi na karanga,vipi kuhusu etc etc!!! wengi wetu wamekuwa watu wa kufuata mkombo tuuuuu!!.Hivi sasa ni kumuunga mkono mtukufu ndio ina trend, chambilecho"Hili nalo litapita"
  3. B

    Waliofanya Utafiti huu tafadhali ndani ya Saa 24 watuombe radhi wana Mkoa wa Mara

    Yaaaap mura mwitoooo!!!!! nsare ligenaaaaa!!!!!
  4. B

    Unatumia memory card ya aina gani? je ni sahihi kwako?

    Chief katika ubora wake!!!! Hili ni darasa toshaaaaa!!!! keep it up bro.
  5. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuache tamaa, mtu anaweka 500/-akitegemea ku win a million.Mkeka una mechi kumi na zaidi, out of 100 peoples waliobet ni mmoja au wawili tu wataobahatika. Bro Faokipe weka dau kubwa bet mechi chache za uhakika!.Changanya na basketball na tennis.Wadau wameng'ang'ania football pekee, hapo lazima...
  6. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nina muda kiasi katika betting, na kutokana na uzoefu nimekuja ku conclude kuwa betting ime embrace vitu3.First of all betting ni HESABU, kisha betting ni SCIENCE na mwisho betting ni BAHATI.Ukifanyia kazi haya believe me, out of 10 bets you make una uhakika wa kupiga pesa bets 7-8.
  7. B

    Wasafwa na Mbeya yao kihistoria

    What a tale!!! Hii ni zaidi ya historia, Mwanshinga Jr unastahili kongole kibao kwa kutuletea utafiti wako, assignment hii ningependa na wengine humu JF tuifanye.Maana historia ya makabila yetu inazidi kupotea.
Back
Top Bottom