Hello Goodmorning ladies!
Kuna Resort mpya inaelekea kufunguliwa katika hifadhi ya wanyama ya serengeti, ni mkabala na last season safari lodge(iliyokuwa bilila).
Tuna nafasi chache kwa wahudumu ambao wana utaaalam wa food and beverage, front office na cleaners.
Mishahara yetu huanzia laki 5...
Habari za sasa wakuu? Nami pia nahitaji msaada nipate kazi. Nina Bachelor Degree ya Logistics management..
With 1 year working experience.
Napatikana Mwanza, but I can work anywhere.
Ntashukuru kwa msaada.
Mawasiliano yangu ni 0764622243
Wadau kwema humu? Nawasalimu kwa jina la Muumba!
Pamoja na kwamba mimi ni mgeni, nawaombeni mnisaidie ajira jamani
Nina Degree ya Logistics management
Nina Experience ya stores management mwaka mmoja na nusu kutoka kampuni ya bollore Africa Logistics.
Ajira ilikuwa terminated kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.