Natafuta kazi?

bhoke bhoke

Member
Jan 16, 2018
9
5
Wadau kwema humu? Nawasalimu kwa jina la Muumba!
Pamoja na kwamba mimi ni mgeni, nawaombeni mnisaidie ajira jamani
Nina Degree ya Logistics management
Nina Experience ya stores management mwaka mmoja na nusu kutoka kampuni ya bollore Africa Logistics.
Ajira ilikuwa terminated kipindi cha upunguzaji wafanyakazi, enzi hizi za magufuli.
Please any one touched with my reading, contact me through bmbachuta@gmail.com for further hearings.
Muwe na majukumu mema!
 
Pole...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom