Recent content by bhna

  1. bhna

    Naomba msaada kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k, bei kwa badget ya 500,000-1000,000

    Habari wanajamvi nataka kufungua biashara eneo la wazi biashara itahusisha chips,mihogo yakukaanga,nyama choma,supu nk nafikiria kununua projector itakayo nipa nch 100 ama zaid iwe moja ya kivutio hasa kipind cha mipira na movie kali Kama kuna wadau wanaozielewa projector kali inayoonesha 4k...
  2. bhna

    Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

    Mimi naona niwatu kuepuka kuzaa kiholela,kuzaa bila mipango!watoto mwisho wanakosa mwelekeo nibora usizae kabisa kuliko kuleta kiumbe ambacho hujakiandalia maisha yake yabaadae maana serikal haitakaa imtengenezee mtoto wa mtu maisha bora,sasa unapambana kutotoa kila leo kwamba ndo sifa wakati...
  3. bhna

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Biashara tamu jaman mimi hata uniambie uniajiri kwa 5m kwa mwezi sikubali ninamwaka wa 3 sasa, kwenye biashara na sijawahi juta
  4. bhna

    Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

    Ningumu aisee kwa mchi hii! yaan haiwezekani hao watajifariji hapo lakin haiwezekani
  5. bhna

    Ushauri kuhusu used Sports Bike

    Niliikuta hii pia ni bmw 1000cc bei 12m
  6. bhna

    Ushauri kuhusu used Sports Bike

    Hii ni suzuki 125cc m4
  7. bhna

    Ushauri kuhusu used Sports Bike

    Mkuu mim juzi nimeuliza cbr 600 nikaambiwa 8m nahisi wanazitoa dubai
  8. bhna

    Ushauri kuhusu used Sports Bike

    Sport imekaa unyama mkuu
  9. bhna

    Ushauri kuhusu used Sports Bike

    Mkuu chuma kama hiyo mpaka bongo inaenda ngap
  10. bhna

    Ushauri kuhusu used Sports Bike

    Mkuu naomba experience kdogo risk ni kama zipi[emoji120]
Back
Top Bottom