Recent content by bhiseko

  1. B

    Kipilimba alistahili alichopata leo, wanaomwonea huruma wanasahau haya

    Kwanza siamini katika ulichokiandika. Huwezi kumtenganisha Magu na Uchafu unajaribu kutuaminisha kuwa umefanywa na Dr. Kampilimba... Wadanganye wasiojua mchezo huchezwao kwa sas. Wenye akili tunatambua kinachoendelea... Soma Kitabu cha "UJASUSI WA KIDOLA NA KIUCHIMI" na #yerickonyerere.
  2. B

    Nani anasema Lissu anaichafua nchi?

    Mungu akuzidishie maisha marefu. Hakika umeinena iliyo kweli. Wacha mazwazwa wachafuane wao kwa wao
  3. B

    Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

    Huyu Kipaza Sauti lazima atakuwa ana KIHARUSI CHA UBONGO..
  4. B

    When the going gets tough, the tough get going... My thanks to you, Tundu Lissu and Zitto Kabwe!

    Nakubaliana na wewe mkuu. Kwa mjibu hoja yako, kwa kuwa ametumia mfano wa Daudi toka kwenye maandiko matakatifu ya Biblia, alitakiwa atambue au asome upya kitabu hicho.. kwani, Daud, alipopakwa mafuta tu, hakuanza kazi ya utumishi moja kwa moja. Aliingia katika kasiri la mfalme Saul na kuajiliwa...
  5. B

    When the going gets tough, the tough get going... My thanks to you, Tundu Lissu and Zitto Kabwe!

    Kwa mara ya kwanza Pacal Mayalla, nakupongeza kwa ushauri wako mzuri sana. Nimekuwa nakufuatilia kipindi cha nyuma, na nilikuwa mpenzi wa makala zako sana, lakini hivi karibu kwa takriban 2.5yrs, makala zako nyingi zimekuwa butu, zenye kulenga kufurahisha kundi fulani la watu na kuwatweza watu...
  6. B

    When the going gets tough, the tough get going... My thanks to you, Tundu Lissu and Zitto Kabwe!

    Dear, brethren, I would be denying myself the right to express myself if I won't congratulate you, for a such moving and inspiring article. Though it's short, but ful of wise words and teachings. Only the few, and indeed the few who will need to extract the teachings in it, will understand this...
  7. B

    Iddi Amin akifa siwezi kulia, nitamtupa mto Kagera awe chakula cha mamba

    Kaka Mkuu, nadhani siku hizi umechoka kufikiri kwa kina. Una uhakika kuwa wanajeshi hawafanyi siasa? Labda kama ni wa huko nje ya Tz aisee. Ushahidi wa kuona na kuteuliwa kushika nafasi za kisiasa na kutoa matamko ya kisiasa, upo wapi kabisa. Kisha unaleta porojo hapa.
  8. B

    Zitto, kama umeshindwa kumheshimu Rais Magufuli kwa dhamana yake basi mheshimu kwa umri wake

    Pumba tupu. Ungelijiuliza na wewe pia kuwa, kwa nini iliwachukua saa takriban 3 kufika katika eneo la tukio. Wakati ni umbali wa dakika kati ya 20-30 tu. Hata kama kivuko kingebinuka achilia mbali kupinduka, ni aibu kubwa sana kwa serikali ya wilaya na mkoa kuokoa mtu mmoja kati ya 41. Usiku ule...
  9. B

    Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

    Sijui Dkt. Mwigulu au vyo vyote vile uitwavyo, usitake kuaminisha watu wote kuwa huyo unayemtetea ni baba yetu. Labda ni baba yako wewe na wengine wachache muaminio katika nadharia hiyo. Yawezekana ukawa sawa katika suala la umri.. Kuwa ni sawa na baba.. Lakini kumbuka kuwa si kila baba ni baba...
  10. B

    Mbowe acha siasa za Matukio. Kivuko hakina vyumba.

    Engine room, kiswahili chake ni nini? Inaonekana huna ufahamu juu ya boat au ferry. Mie niliyewahi kusafiri na kivuko hicho nakuhakikishia kuwa kuna vyumba. Na hutumika mara nyingi kwa ajili ya manahoa na watumishi kupumzikia. Na kwa taarifa yako, hata huko kwenye chumba cha engine, usifikiri...
  11. B

    Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

    Kwa kweli mkuu, sijui nikushukuru kwa njia gani ili utambue ni kwa jinsi gani umeipevusha akili yangu ndani ya muda mfupi kwa bandiko lako, na pia kutambua kumbe kuna watu si WANACHADEMA lakini wanaitakia mema na heri CHADEMA harakati hizi. Hakika ushauri wako kwa CHAMA CHA CDM, iwapo viongozi...
  12. B

    Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

    mbona habari hii ya siku nyingi mkuu. Siyo mpya na kama ni wanakakonko basi wanalitambua hili kuliko udhaniavyo. Kufungua tawi la CRDB pale CHATO haikuwa bure. Kila mtu anajua kuwa JIWE yuko katika harakati zake..
  13. B

    Achana na Kata 77: Kipimo cha kukubalika kwa CHADEMA, ni Jimbo la Buyungu:

    Mkuu, kwanza nikupatie pole kwa kujifanya kuwa Kiongozi wa malaika hajawahi kutamka hadharani kuwa "NIKUTEUE MIE, ALAFU UMUAPISHE MPINZANI". Kwa taarifa yako tena hili si lakujitungia, ni dhahili iliyowazi kuwa hata huwa hufuatilii habari za nchi ya Jiwe wako na matamshi yake. Rejea, siku ya...
  14. B

    Alichosema Dr Mashinji kuhusu chaguzi

    Pumbavu kabisa
Back
Top Bottom