Wiki 3! Katika wiki tatu mnaenda kufanya nini, kuonesha sura au kupata mafunzo. JKT ililenga kuwafunza vijana ukakamavu, mafunzo ya vita ikiwa ni pamoja na mbinu za medani, uzalendo na ujenzi wa Taifa hasa kwa kupitia miradi ya kilimo. Wiki 3 hazitoshi hata kupunguza vitambi kama vya akina Nape...