Recent content by BGG

  1. B

    Rais Magufuli, kauli yako inaenda kuizika elimu ya juu

    KAULI YA RAISI NAIUNGA MKONO KWANI VYUO AMBAVYO HAVIKO ORGANISED VITAJIFIA VYENYEWE.
  2. B

    Nursing and Clinical Assistant upgrading

    IF YOU STUDY BY DISTANCE LEARNING IT IS TWO & IF FULL TIME IT IS ONE YEAR .WHICH ONE DO YOU PREFER?
  3. B

    Msaada kuhusu kozi za afya

    Kozi ya clinical medicine imekuwa ni lazima afaulu hesabu na English kuanzia intake hii ya sept 2017.ila uuguzi anawezapata
  4. B

    Msaada kuhusu kozi za afya

    uko mkoa gani?
  5. B

    Msaada: NACTE wamenichanganya, natamani kulia ndoto zangu zimepotea kabisa

    kutakuwa na intake mpya mwezi match/April mwaka huu unaweza apply upya. Huna haja kwasasa kwenda kwenye chuo husika watakuondoa kwakuwa hukuripoti
  6. B

    Msaada wa vyuo vya private vinavyotoa certificate na diploma ya nursing kwa Dar es Salaam

    Chuo cha uuguzi Massana kipo kwenye hospitali ya Massana Dar es Salaam.
  7. B

    NACTE acheni uzembe

    WAMESHAFANYA SELECTION WALIO OMBA KATI YA TARE HE 5-9-2016 HADI 15-9-2016 BAADA YA KUONGEZA HUO MUDA?? WAMEFANYA HIYO SELECTION LEO??
  8. B

    NACTE acheni uzembe

    Nacte mmefunga mfumo kwa ajili ya uchaguzi tangu tarehe 15-9-2016 ni nini hasa kinawazuia kutoa majibu ya application zetu kwa takriban wiki mbili sasa kama sio uzembe?? Majibu ya haraka yanatusaidua kujua mapema jinsi ya kufanya maandalizi ya kwenda vyuoni au kutafuta fursa mmbadala kwa wakati...
  9. B

    Je nikitemwa second round nawez kwenda kuomba direct chuoni

    Kama Una vigezo na chuo kina nafasi chuo kinaweza kuwasiliana TCU KISHA KUPEWA FURSA YA KUKUINGIZA KWENYE MFUMO RASMI BAADA YA KUFANYA MALIPO YANAYOTAKIWA TCU NA VYETI VYAKO VIKISHA HAKIKIWA NA MFUMO NA KUONANA UNA KIGEZO STAHIKI UTAENDELEA. HIVYO FURSA IPO ILA CHUO HUSIKA ITABIDI KIFUATILIA...
  10. B

    NACTE ongezeni muda

    NACTE Tunaomba baada ya selection ya tarehe 15/9/2016 mfungulie tena CAS ili kutoa fursa kubadili machaguo kama tutakuwa tumekosa machaguo tuliyofanya awali. Bado baadhi ya vyuo via nafasi Tunaomba fursa nyingine hadi angalau tarehe 25 ya mwezi huu
  11. B

    Kwanini Islamic University haipo Central Admission System ya TCU?

    chuo kimuu cha ki Islam morogoro hakimo kwenye central admission system ya TCU kwanini ? nani ya nchi ambazo haina ubaguzi wa kid in? (
Back
Top Bottom