Naandikia hukumu kesi kama hyo ya walinzi wawili wakiwa lindoni wezi wakavamia na kuiba.inshrt ww kama mdhamini unapaswa kuhakikisha mshtakiwa anafika mahakamani kila siku ya mahakama bila kukosa maana tatz litakua kwako.Na sidhani km kuna kesi hapo labda km prosecution ina ushahidi wa nguvu
Inabdi uwe na ushahidi kuwa aliwahi kuwa kwny kesi hyo upande mwngne alafu unapeleka maombi mahakamani mbele ya judge kuwa huyo mwanasheria ana interest na kesi hyo au aliwah kuwa kwny kesi hyo
Kuna mambo mengne tunakua tunaona na tuna majibu ila hatutaki kukubali ukwl tunatafuta ushauri kwa watu tukihisi watatuambia vitu vya kutupa matumaini.
1.Najua unajua kabisa kuwa huyo jamaa hana nia na ww inshrt anakutumia tu ukija dar ndo anakumbuka kuwa upo and for da record huwez kumwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.