Recent content by Bestinaa

  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli Mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

    Kaongea ukweli, uzuri sisi wafanyakazi tunaona pesa inakoenda, tuliambiwa tufunge mikanda hivyo tunaelewa, zingekuwa zinakusanywa na wanafanya ya hovyo kingeshanuka, nchi ni yetu sote, hizo pesa TL anazotuahidi kutupa atazitoa wapi wakati hapohapo anaahidi kufuta kodi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

    Huyu wamnyooshe hadi watajane na iyo miakaunti yao ya tweeter. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tangu awe rais, ashindwa kutokea kwenye ibada ya Christmas

    Wanyonge tupo, alisema katika kipindi chake hatoongoza kwa mazoea. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tangu awe rais, ashindwa kutokea kwenye ibada ya Christmas

    Unapoteza muda kujibu hii mita.hira mkuu? wakajibu kwanza huku. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wakuuu nchi haiko Salama hiii tuwe makini

    Haya mambo mods hutoona wakiyazuia, lakini uzi ulioanzishwa humu kumuhusu kigogo kusalenda na kumbloku MTU kule twita umebanwa, watu wakilalamika jamii forum inatumiaka hawataki imini. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania RC Makonda awataka wakazi wa Dar kuwa na bima ya afya

    Moderator mjifunze, sio kila siku mnaacha mtu anatukanwa na kudhihakiwa sababu ni mtu wenu mkidhani upande wa pili hawawezi kudhalilisha pia, mngefuta ule udhalilishaji wa awali kwa RC sidhani kama leo hali ingechafuka, hongereni kwa hatua mlizochukua angalau yatia moyo.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya mchomoa betri hapa

    Hivi hapa ninipost tu hata niliyoskrinishoti tapata burn?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Fake enh!? acha vyombo na mahakama vifanye kazi zake.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Unajua wanapoandika upuuzi mitandaoni watu tumekaa kimya basi weshajiona wao ndo watanzania hasa.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Katafute...mpuuzi mmoja tu kumtukana mkuu wa nchi eti "the foolish president" tena kwenye gazeti la nje!!!...seriously!!?? wamemstahi sana huyo jamaa.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Wewe nani kakutuma kuhoji?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

    Hahaha...CCM ni moja, kama wajidanganya wewe ni special sana kuliko mamilioni walokuwa vijijini wajidanganya, utatekwa, utafinywa, utafanyiwa chochote ambacho wala hakiendani na hujuma yako kwa Taifa, kikundi cha watu hamsini wenye multiple accounts mitandaoni kuaminisha watu mambo hayako sawa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

    Hahaha...CCM ni moja, kama wajidanganya wewe ni special sana kuliko mamilioni walokuwa vijijini wajidanganya, utatekwa, utafinywa, utafanyiwa chochote ambacho wala hakiendani na hujuma yako kwa Taifa, kikundi cha watu hamsini wenye multiple accounts mitandaoni kuaminisha watu mambo hayako sawa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Ubatizo wa moto, safi sana, fukuza na uanachama wapuuzi hawa.
Back
Top Bottom