Recent content by bestcomment

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nani aliyemdanganya Msanii Ben Pol kuwa Yeye ni King of R&B kwa Tanzania?

    Jinga jinga Tanzanian mabingwa wa kukalili
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ndinga mpya ya Mbwana Samatta

    Diamond analo zaidi ya Hilo ila hapendi show off tu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni mahala salama sana pa kuishi

    NI kweli Tanzania ni mahali salama kwa kuishi ila sio kufanya siasa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, ifikapo 2020 upinzani utakuwa?

    Ikifika 2020 zaidi ya asilimia 80 ya watanzania watakua wapinzani ila hakutakua na jukwaa la kiuwakilisha wapinzani. Jukwaa kama vile vyama vyenye muonekano wa kipinzani. Ila hapata pita mda mrefu kitazaliwa Chama cha watu, kitakachokua na nguvu kuliko chama chochote kilichowahi kutokea...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Julius Nyerere is so powerful in Black Panther than Lupita Nyongo

  6. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza aivaa Serikali, asema tulipokubali kuingia mfumo wa vyama vingi tulikubali kupingana kwa hoja

    Sheikh wa daresalaam atakuja kusema siasa na dini haviendani,
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Unaposema dini ya Ibrahim unazungumzia uislam na ukristo na wayahudi(abrahamic religion) na sio wayahudi peke yake. Wote watatu wana historia na mji huo.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    Upo sahihi mkuu
Back
Top Bottom