Recent content by bestchoicetz

  1. bestchoicetz

    Bila ya CCM, Tanzania ingepoteana

    Naomba nikulize kama kweli wew ni mzalendo .... ivi umesha wahi japo kusikiliza report za CAG? ....... japo kwa awamu moja tu kwenye hizi serikali z CCM tusiende mbali tuanzie kwa JK, JPM, SSH , alafu uje hapa uniambie nikisema serikali inafuga wezi uta kataaa?
  2. bestchoicetz

    Rais hajiulizi kwanini wanaomsifia ni wateule wake tu na si makundi ya Wananchi?

    [emoji736]️Kwanza huyu mama hana Dira .... [emoji736]️Hana sera ..... [emoji736]️Hajui kutoa hotuba ..... [emoji736]️Hajui matatizo ya wannchi kabisa .... [emoji736]️Ana fuga wezi, chawa, na wapigaji [emoji736]️Hana sifa yeyote ya kuwa Rais wa nchi ..... Kwa kifupi hapa tume pigwa
  3. bestchoicetz

    Bila ya CCM, Tanzania ingepoteana

    Kusubiri logic toka CCM nisawa upo pale feri unasubiri basi la kwwnda unguja...... ogopa sana kundi la wajinga
  4. bestchoicetz

    Bila ya CCM, Tanzania ingepoteana

    Una kichwa kikubwa lakini akili kama mbegu ya haradali ...... Tanzania ina watu 60m CCM ni genge la wezi wanao pokezana kuihujumu nchi yetu ..... nikuhakikishie tu kuna watu wwnye upeo mkubwa kuliko wana CCM ...Time will tell
  5. bestchoicetz

    Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini

    Na mmi najiuliza hivi huyu mama haoni haya yote? Ivi tuna bunge kweli linalo wakilisha wanachi [emoji22][emoji22]
  6. bestchoicetz

    Je, bunge la 2025 litakuwa kama Kaole Sanaa Group kwamba litasheheni Wasanii Wengi

    Wajumbe wana wazoooom tu kwa mbali hatoboi mtu
  7. bestchoicetz

    Tanzania ya Magufuli ilikuwa ya Viwanda. Je, Tanzania ya Mama ni ya nini?

    Hii nchi sahv imekuwa shamba la bibi ......
  8. bestchoicetz

    DOKEZO Responded Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    Nimesoma andiko vzri kwanza nimeumia lakini pia nimesikitika sana [emoji22]...... kumnyima mtu hakiyake ya msingi ni kitu kibaya sana .....naamini kupitia uzi huu wahusika wataona na hakizenu zitapatikana ...... pia nikupongeze kwa mwandiko mzuri uliyo pangika [emoji120]
  9. bestchoicetz

    Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Kuna mtu anafanya kazi kwenye ofisi ya AC ndani ....akitoka anaingia kwenye gari pia kua AC , anarudi nyumbani nako amefunga AC .... huu uzi wako sidhani kama atauelewa
  10. bestchoicetz

    Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Dar hakuna joto mzee baba ......amini nakwambia ...... alisikika mlevi moja wa K-VANT ....
  11. bestchoicetz

    Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

    Unaonekana una kiuno kigumu kama demu wakichaga rekebisha hilo utanishukuru badaye [emoji125][emoji125][emoji125]
  12. bestchoicetz

    Maudhui gani ninayoweza kusimama nayo na ikawa na ushawishi kwa jamii?

    Content za namna hii kuna watu utawakosa ...... kuna watu wana waza mlo wa siku itakuwaje ..... ukianza kuwaletea habari za utajiri hawatokuelewa kiurahisi .... kama unataka kudeal na content hizi jikite kwenye solution ...... wambie nini wafanye ili watoke point A kwenda B
  13. bestchoicetz

    Maudhui gani ninayoweza kusimama nayo na ikawa na ushawishi kwa jamii?

    Tofautisha mabusu na mbususu Hapo ni mambo mawili tofauti ila vipo jirani jirani
  14. bestchoicetz

    SoC03 Nakataa kuwa mtumwa, sasa najituma!

    Unahakika kilimo ni kazi rahisi? ....... Una hakika kijana aliye toka chuoni fresh akienda shamba ata toboa ? .... Una uhakika kwa kilimo cha sasa kwa ekari moja ata oata gunia 20-30 ? Pasipo kuzungumzia swala la mbolea na viwatilifu vingine ........ Una uhakika soko la mpunga ni rahisi kama...
  15. bestchoicetz

    Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

    Vipi nyagi ina panda..... tuanzie hapo kwanza
Back
Top Bottom