Recent content by Best1

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tunawabeza waislamu lakini kiukweli wapo sahihi

    Huo ukweli uliouandika niko naushudia hapa. Tupo honeymoon na wife, ghafla kaingia p, sasa nimekuwa mdogo kama piritoni. Natamani nichepuke, ila nashindwa kumtoroka na hamu yenyewe ndio inazidi kuongezeka.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna ujumbe unamtoa mwanaume jasho kama "sizioni siku zangu"

    Namtumia 50k faster
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Reginald Mengi haishiwagi pesa?

    Mtoa mada una roho ya kichawi. Unawezaje kumwazia mwenzako kuwa anaweza kufilisika? Think positives for him. Mungu anasema atoaye kwa yatima na wahitaji, atajaza maghara yao. Mengi anatoa kwa yatima na wahitaji haweza kufilisika.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tuache utani, wanawake waomba hela wameongezeka sana awamu hii

    Akiomba hela ukapotezea baada ya nusu saa anafuta msg. Hahahaaa....wanazidi sana Kuna mwanamke mmoja aliniambia anapata kama Tshs 100,000 kwa wiki. Anaomba Tshs 5,000 tu kutoka kwa wanaume wanaomtongoza. Wakiwa 10 basi anapata 50,000/- after two days anaomba tena hapo anaweza kupata zaidi ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia uongo wanaotumia vijana wakiwa kwenye mapenzi mazito

    Hahahaha, nimecheka sana hapa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Asante JF; nimepata mke wa pili

    Hongera sana.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli maji ya bahari ya toa gundu ya kupigwa vibuti

    Hahahaaaa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Moyo ukiwa kazini Jua akili ipo Likizo

    Mada yako nzuri. Nahisi hapa akili yangu imeanza kwenda likizo juu yako....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
  9. B

    JamiiForums Tanzania WANAUME KUBALINI MATOKEO TU

    Siyo lazima hiyo kanuni iapply kwa mapenzi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nilimdanganya sana ili nipate tu 'mzigo', sasa nimezama kweli

    Hahahaaa....nimecheka mpaka nimetoa machozi. Aisee huu uongo wa kiwango cha juu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kumuhudumia mume wako wewe mwenyewe na sio kumuachia mtu mwingine

    Mwenyewe natamani asome hapa. Watoto wametufanya tuwe watumwa japo kuna wanaume wengine wameshindwa kujizuia.
  12. B

    JamiiForums Tanzania SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

    Mtusamehe tu, kuacha kuchepuka ngumu sana
  13. B

    JamiiForums Tanzania SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

    Rafiki yangu ana mke alisafiri kikazi. Akakutana na mchepuko wake huko. Wakawa wanaishi chumba kimoja, hotel moja. Mkutano ulikuwa mrefu, siku 15. Baada ya siku 4 alinitumia SMS kuwa amemtoroka mchepuko wake hotelini amekwenda kulala kwa hawala mwingine, hotel jirani na hiyo. Huko alimaliza siku...
  14. B

    JamiiForums Tanzania SINGLE MOTHER ANAYEFAA KUOLEWA.

    Wanafaa sana hao
  15. B

    JamiiForums Tanzania Miezi 9 bila sex na mke wangu: nifanyeje?

    Ahsanteni kwa ushauri wenu. Kuna mambo mengi sijayaeleza hapa. Kuhusu kwenda hoapitali, tumefika mpaka hospital ya Rufaa Bugando, Mwanza. Hakuna kitu.
Back
Top Bottom