Recent content by Best Vibez Store

  1. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

    Huyu jamaa zingne zinaweza kuwa ni Kamba
  2. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Ipi rekodi yako ya uzoefu katika uendeshaji gari safari ndefu?

    Hapa umetupiga mkuu
  3. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

    Achana na Soda mziki nikiacha Pombe hasa sisi wa mapombe makali acha tuu
  4. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili Flash yenye ukubwa wa 64 GB iweze kusoma kwenye Flat TV tena (Hisense Smart TV)?

    I format iwe mfumo wa NTFS ndio itasoma nadhani hivyo
  5. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Original Lenovo Livepods x62 Genuine Assured [emoji736] Bluetooth Version 5[emoji736] Pure and Deep Bass[emoji736] High Capacity Long Endurance 4-5 Hrs It Sounds Good & Good looking New Type-C Interface Very Soft & Comfortable Tsh 60,000/= [emoji403] Free Delivery in Arusha Calls/Msg/whatsApp...
  6. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Ndio boss ni Earphones
  7. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

    Si ndio Moscow ya Tanzania walevi wengi
  8. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuelewa ukweli wa Rais Samia njoo Marangu Mtoni mkoani Kilimanjaro, kati ya bodaboda 5, wanne au watu ni mashoga

    Mimi ni mchagga kweli ila msijumuishe sema baadhi ya wachagga ndio wanatabia hizo ila ki ukweli hili ni Tatizo kubwa sana na Hata Viongozi wa Dini wanajua sema baadh ya viongozi kujifanya wajuaji na kutokuweka wazi ili ufumbuzi upatikane tatizo Arusha yaani kumeharibika sana halafu kwenye...
  9. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

    Pombe ni Pombe ulevi ni ule ule mkuu
  10. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

    Sasa unapotafuta mali mwenyewe halafu mali mnagawana hiyo nayo ipo sawa na je Mwanamke akikuacha inakuwaje ? Na siku hizi kesi nyingi Wanawake ndio wanaomba Talaka
  11. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Original Syllable S8 Genuine Assured [emoji736] Bluetooth Version 5[emoji736] Pure and Deep Bass[emoji736] High Capacity Long Endurance 5 Hrs It Sounds Good & Good looking New Type-C Interface Very Soft & Comfortable Tsh 55,000/= [emoji403] Free Delivery in Arusha Calls/Msg/whatsApp +255712350159
  12. Best Vibez Store

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    JoyRoom Fast Dual wireless Charger Ni Original Kabisa[emoji736] Unaweza kucharge Device mbili kwa pamoja[emoji184] Unapata Fasta Wireless Charger & Wired Charger[emoji736] Unaweza Kucharge Apple & Samsung Watches na pods[emoji736] Tsh 55,000/= [emoji626] Tunakuletea Mahali ulipo ndani ya Jiji...
Back
Top Bottom