Recent content by Best Anko

  1. Best Anko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mke wangu tatizo

    bonge la ushauri
  2. Best Anko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maendeleo yanawauma CHADEMA ndio maana wanamchafua Dkt. Magufuli

    mimi sipo chama chochote ila kitendo cha wafanyabiashara wengi kusema "mzee amebana sana vitu vinapatikana kwa bei ya ghali" ni dhahiri kwamba wahujumu uchumi wa nchi wataisapoti sana CHADEMA ili waweze kufanya biashara na kupata mizigo kijanjajanja. CHADEMA kwa wafanya biashara wasiopenda...
  3. Best Anko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake facebook ni matapeli

    tatizo hawaombi elf 2 kwa mwanaume mmoja, anaweza kuwaomba kma wanaume 10, mwisho wa siku wote wakituma mwanamke anakua kaingiza elf 20 bila hata kutoa jasho. huo ni utapeli kama mtoa mada anavyosema.. namuunga mkono
  4. Best Anko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumwagana katika mahusiano

    mimi mwenyewe katika hili sielewi chief, uwezo hawana ila bado wanang'ang'ania!!!!!
  5. Best Anko

    JamiiForums Tanzania WHO wazitaka nchi za Afrika kufungua shule

    Naona wanafuata nyayo za Magufuli.
  6. Best Anko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Mi nachekaga sana mtu anaposema ndoa si mchezo halafu unakuta yeye hajaoa ila ameshaachana na wanawake zaidi ya 20 mpaka sasa. Kama kwenye uchumba kungekua hamna changamoto basi hapo kidogo ungestahili kusema ndoa si mchezo..ila we kila kukicha unaachana na wanawake halafu unasema ndoa si...
  7. Best Anko

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Karibu
  8. Best Anko

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Karibu
  9. Best Anko

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Inabidi isafishwe kwanza ndo uangalie mambo mengine
  10. Best Anko

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Yah Probably BIOS
  11. Best Anko

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Pole. Ungekua karibu ningeangalia jinsi ya kukusaidia
  12. Best Anko

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Ukichomeka chaji inajiwasha.. Ukiizima baada ya kuchomeka chaji inajiwashaga tena?
  13. Best Anko

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Nadhani nikiiangalia naweza kusolve.. Ni tatizo dogo nitafute nikurekebishie.
  14. Best Anko

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    ikijireboot ikikwambia "press any key..." usibonyeze chochote
  15. Best Anko

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Jaribu kuwasha bila betri.
Back
Top Bottom