Recent content by bertha mliga

  1. bertha mliga

    Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

    Umati cyo sababu ya kutoa jibu kuwa ni ushindi amuulize lyatonga mlema aljaza watu but alipata kura ngap kwahyo Kuwa na watu wengi hakumaanish ushindi alikuwa na mbwembwe hivyohivyo kipindi anatia nia ccm yako wap na hata sasa amalize hela zake asitegemee kuapishwa octoba kama wanavompamba...
  2. bertha mliga

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Kwakuwa ukawa wamemsafisha lowasa inaonesha hawana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko bali kueneza uovu
  3. bertha mliga

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Hamna lolote ukawa msubir kipindi cha kampain mtaisoma namba na uroho wa madaraka utabakia kwenye ulimi
  4. bertha mliga

    Mbatia: Mgombea tutamtangaza baada ya siku 5 Au 6

    Hawana jipya hao wa ukawa wana yazamani tuu kwani hawana wagombea wengine zaidi ya lipumba na silaa wa miaka nenda rudi na safari hii wataisoma namba watakapo sombwa na tingatinga
  5. bertha mliga

    Mbatia: Mgombea tutamtangaza baada ya siku 5 Au 6

    Hapo hakuna cha silaa wala lipumba hapa kwetu Tanzania magufuli ndio habar ya mjini
  6. bertha mliga

    Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Kuhama kwa huyo ester hakujaipunguzia kitu chochote ccm na asipojiangalia ataishia kuuza mama lishe atakaposhindwa kupita ubunge
  7. bertha mliga

    Sababu top 10 zitakazoua UKAWA

    Ukawa nasubiria sana kuongoza nchi yaani kwa ufupi hamna sifa
  8. bertha mliga

    Kufukuzwa kwa wabunge wa upinzani bungeni kutaigharimu sana CCM

    Mtajua mmefanya maanuzi magumu ya kupitisha ukawa waongoze nchi kumbe bila kujua kama mmeruka majivu na mmekanyaga moto ila mungu anajua ni chama Gan kisichopenda vurugu ili kiongoze Tanzania yetu yenye amani tele
  9. bertha mliga

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi asifiwa kwa kuleta maendeleo jimboni

    Sugu hafai hata kwa mchuzi chupuchupu na mbeya wakimchagua tena fatakuwa wamempeleka mbondia bungeni na cyo mbunge yy na fujo tu ndio maana alitolewa bungeni juujuu ka katoto
  10. bertha mliga

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Hakuna dr. Slaa wala nani kwanza mtu mwenyewe hana hata mbele wala nyuma hadhi ya urais hana!!!!!! Yupoyupo tu hayo yote ni maneno matamu anayoongea ili wananchi wamuamin wajue ni mtu mwema kumbe hana lolote ni kampain tu ataishia kunawa tu nakula kwa macho labda ahame chama
  11. bertha mliga

    Halima Mdee apelekwa mahabusu

    Na wakidhubutu kwemda tumahakamani watajua kilichomtoa paka pangoni maana nyie hamckii
  12. bertha mliga

    Halima Mdee apelekwa mahabusu

    na mwaka ujao mtakoma no kuongoza nchi wala nini mabahili wakubwa kaz uroho wa madaraka tu na bado vyombo vya dora vimewapania vitawasurubu kama enzi za utumwa nyie mjaribu kuandamana muone
  13. bertha mliga

    Halima Mdee akitoka mahakamani/sero kuitikisa kanda ya ziwa kwa Chopa!

    Mtaendelea kupiga kelele kinana safi nape safi kama vip endeleeni kuwacfia viongoz wenu wanaotaka uongoz kwa nguvu na wataishia kuongoza familia zao na cyo tanzania yetu yenye amani
  14. bertha mliga

    Halima Mdee apelekwa mahabusu

    Tangu lini mbunge akawa msela???? Mdeee anajifanya msela wa kike sasa kakutana na makamanda ambao hawajui kulemba katembezewa virungu vya mgongoni huku akipanda kwenye difender chezea vyombo vya dora wewe
Back
Top Bottom