Recent content by Bertha Kakete

  1. B

    JamiiForums Tanzania The bigwigs in early payouts are the talk of the town in betting

    Dah asee nikupe pole sana, ila tusikate tamaa ila tutatoboa tuuu inshallah
  2. B

    JamiiForums Tanzania The bigwigs in early payouts are the talk of the town in betting

    Nyongeza tembelea na Sokabet pia imejaa tele Jaribu bahati uone maajabu
  3. B

    JamiiForums Tanzania The bigwigs in early payouts are the talk of the town in betting

    In Sport betting, early payouts mean a bookmaker settles your bet as a win before the event is officially over—usually because your selection is in a strong position. For example: In football, if your team goes 2 goals up, the bookmaker might pay your bet out early, even if the game isn’t...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu alishawahi kutajirika kwa kubashiri?

    Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri. Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu alishawahi kutajirika kwa kubashiri

    Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri. Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mabadiliko ya hali hewa?

    Hapo zamani, sababu za asili, kama milipuko ya volkano na El Niño, zilisababisha kushuka kwa joto na mvua. Kilicho kipya, ni ushawishi wa wanadamu juu ya mabadiliko ya hali ya hewa. Tunaendesha magari yetu, tunapasha moto nyumba zetu wakati nje ni baridi, na tunatumia nishati kupika. Shughuli...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Lishe bora kwa mama anayenyonyesha ni muhimu

    Lishe bora kwa mama anayenyonyesha ni muhimu ili: Kuwa na afya bora kwani humpatia virutubishi vya kutosha kutokana na ongezeko la mahitaji ya virutubishi wakati wa unyonyeshaji Kuhuwezesha mwili wake kutengeneza na kutoa maziwa ya kutosha kadri mtoto anavyohitaji. Kuimarisha kingamwili za mama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamashabiki wengi, Simba au Yanga?

    Na maanisha wafuasi damu damu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamashabiki wengi, Simba au Yanga?

    Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi. Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine. Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kati ya ZEPPELIN na AVIATOR ipi kali?

    Dah Zeppelin ina unyama mwingi sana, mimi ilikomboa kulipa bill ya maji na umeme asee kwa upande wangu Zeppelin ni mkombozi
Back
Top Bottom