Recent content by Berrita

  1. Berrita

    VERY SERIOUS ISSUE!!! Its Raining Husbands on Me and Yet I cant Pick 1. (Sio kulogwa huku jamani)

    heheheheee. nikupe somo la buree. kurudia rudia maneno ktk uandishi ni namna ya kutoa msisitizo ukiwa umelenga ujumbe wako ufike ipasavyo. tayari hiyo ni dalili unajali nifikiriavyo na nisemalo juu yako. umechemka. ile post ya pili tu usingejibu ndiyo ingeenda na msimamo wako wa kutojali...
  2. Berrita

    Nahitaji kumuacha lakin sijui nifanyaje

    Looh. sasa tatizo nn? utaacha vipi usichokuwa nacho? heheheee
  3. Berrita

    VERY SERIOUS ISSUE!!! Its Raining Husbands on Me and Yet I cant Pick 1. (Sio kulogwa huku jamani)

    Kubwa la maadui uwe na msimamo na maelezo yako. nguvu yote hiyo umetumia kunijibu mbona yanapinzana na hii?
  4. Berrita

    Nahitaji kumuacha lakin sijui nifanyaje

    Acha utoto na upuuzi! umekojoa midude yako ndiyo unagundua humtaki. stupid!
  5. Berrita

    VERY SERIOUS ISSUE!!! Its Raining Husbands on Me and Yet I cant Pick 1. (Sio kulogwa huku jamani)

    umedhihirisha kuwa unajikosha. umetumia nguvu kubwa kujitetea. debe tupu?
  6. Berrita

    VERY SERIOUS ISSUE!!! Its Raining Husbands on Me and Yet I cant Pick 1. (Sio kulogwa huku jamani)

    Hakuna cha raining men wala nini. haiwezekani kunyesha mume. mume ni yule aliye kuoa. mada zako zimekuweka kwenye kundi la kicheche aliyeweka pesa mbele. huna heshima. unadharau waliyopo kwenye ndoa na kujiona ni machinoo wa mujini. na dharau tele kwa wale wameolewa. hapa unajisafisha tu...
  7. Berrita

    MSAADA: Mama kabadilika baada ya kuwa Mlokole

    Mambo mengine magumu! Pole.
  8. Berrita

    Ipe maneno

    Future mwanaume wa kweli. Wamekuwa adimu kweli kweli!
  9. Berrita

    Hili la Marry hunbig na Mzungu Mndali linahitaji ufafanuzi wana Chit- chat tulielewe

    Ugumu upo wapi. ina mana maryhumbig na mzungumdali ni mtu mmoja. wamechangaya id. kacheza rafu gani?
  10. Berrita

    wanawake wa bongo kuweni makin na wanaume awa matapeli,la sivyo........ni true story hii

    hapa unafanya habari kutaka kuifanya zaidi ya huyo sta badala ya hboy wako. mbona umemkazania sta? nn unajarib kutuambia?
Back
Top Bottom