Nani anasema umri siyo tatizo katika mahusiano?

Nani anasema umri siyo tatizo katika mahusiano?

Pindi nilipokuwa na miaka 15, nilikuwa nawatokea mademu wenye miaka 20 mapaka 25. Ilikuwa vigumu sana kukubaliwa, nakumbuka kuna siku mpaka nilipigwa kibao. Mara nyingi waliniambia huna heshima etc. You know your age? And bla bla bla!!!

Lakini sasa mimi ni yuleyule kijana nina miaka 25, lakini nina date na mademu wenye miaka 30 na pengine miaka 40. Kitu ambacho naambiwa na hawa hawa now, Age is just a Number, kitu kinachojalisha katika ndoa ni upendo.

Ladies why?

Aminia!

Ikifikia hatua ya mwanamke kudate na mwanaume aliyemzidi umri, ujue maji yamemfika shingoni. Hayo maneno ya 'age is nothing but just a number' hayana tofauti na 'sizitaki mbichi hizi' nikatika kujifariji kwa wakati huo kwa sababu anakuwa hana alternative. Ninavyofahamu wanawake wengi tunapenda kudate na watu waliotuzidi umri. Binafsi napenda kudate na mtu aliyenizi umri. Hao watu wazima wanaokuzidi umri wanakuhitaji kwa part time, kuna satisfaction/falvour wanazozihitaji kutoka kwako. Tukiongelea maisha mwanaume anapenda mwanamke mdogo kwake and vice versa is true.
 
Kwa sababu kipindi hicho ulikuwa bado mtoto wa mama na baba, lakini sasa hivi una kamshahara kako hata wakikuomba laki moja utawafikiria
 
Pindi nilipokuwa na miaka 15, nilikuwa nawatokea mademu wenye miaka 20 mapaka 25. Ilikuwa vigumu sana kukubaliwa, nakumbuka kuna siku mpaka nilipigwa kibao. Mara nyingi waliniambia huna heshima etc. You know your age? And bla bla bla!!!

Lakini sasa mimi ni yuleyule kijana nina miaka 25, lakini nina date na mademu wenye miaka 30 na pengine miaka 40. Kitu ambacho naambiwa na hawa hawa now, Age is just a Number, kitu kinachojalisha katika ndoa ni upendo.

Ladies why?

Aminia!

Kaka kwa sababu umesema mwenyewe kua age haijalishi sana kwenye mapenzi na isitoshe usha date wanawake wakubwa zaid yako, nadhani tuache mda uamue kama statement yako ni sahihi au la!!!!!!!
Age matters a lot when it comes to mapenzi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nina miaka 33my wife has 42 years of age we real love each other, we are happy family, age ain't nothing but a nomber, guys love doesn't ask why!

CC: Neylu.

PM inafuata...NB: I am 19 years of age.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom