Recent content by BerniceF

  1. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Nimeshakujibu...sikuwa online mkuu
  2. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Ahsante kwa kunitia moyo.. . Nilimaanisha five Itakuwa maana six lips karibu Na seven..
  3. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Amen... Na iwe vivyo hivyo.
  4. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Ahsante...Hapo kwenye itikadi ya dini ndyo kikwazo..Mimi mkristu puree hao watoto nitawatwanga Bible...Kama kisingekuwepo ningeshukuru.
  5. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Ahsante kwa taarifa Mkuu. Mimi nipo Dar es salaam
  6. B

    Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Ahsante Mkuu. Mimi nipo Dar
  7. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Ndyo maana nimekwambia Sijaweka kwa Urefu...ikiwa hauamini kwa kifupi utaamini kwa kirefu?Na aliyekwambia walimu hawafanyi utumishi Nani? Kuna admission officer... Tutorial assistant... Lecturers.. Hall warden... Examination officers and coordinator....wacha kukariri
  8. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Amen... Nashukuru sana
  9. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Ni me anapenda utani
  10. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Unajua nilikuwa nimesahau kwamba ulinijibu kwanza uko chuo!!!Unajua mtu akiwa chuo anaona kila kitu rahisi.Haswaa ukipanda ngazi na kushuka hapo chuoni...Kopo la maji mkononi halikukauki kama upo hapo UDSM... Na Kama uko Hall Six.. Zile lift zaweza kusahaulisha hata ulipotoka yaani..Ukikaa pale...
  11. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Huyo graduate atakayehadaika na bandiko langu bila kuchekecha akili zake Na kupima uthubutu wake atakuwa kagradute makaratasi!! Hivi graduate ahadaike na maneno yangu? Be optimistic!
  12. B

    Natafuta kazi za ndani(maid)

    Unajua nini as Man thinkenth so he is!! Hayo yalikuropoka ndivyo ulivyo!!! Hizo degree nimezidharirisha wapi!! Lini mtaacha kufikiri ukifanya kazi flani unajidharirisha!? Kwa hiyo nikakaaa bila kazi yeyote huku najiproud nina degree sidhaririki!! That's dogma my friend!!! Kama haumini I have...
Back
Top Bottom