Natafuta msichana wa kazi za ndani

Natafuta msichana wa kazi za ndani

jibwa

Senior Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
120
Reaction score
57
Niko Geita natafuta msichana wa kazi za ndani nina mke na mtoto mmoja awe anaweza kukaa na mtoto maana mimi na mke wangu wote tunatoka nyumbani saa moja asubuhi tunarudi saa kumi jioni malipo tutaelewana...
 
Umeshapata? Kwa maana kuna ndugu yangu anahitaji hiyo kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom