Turkey tayari ameshageuka Adui wa US tangu siku nyingi ingawa ni miongoni mwa NATO kwanini.
1.Turkey amekuwa tofauti na maadhinio ya wakubwa wa NATO (US,UK, Germany) mara nyingi openly na hat chin kwa chini mfano rejea issues za Sweden na Finland kujiunga NATO.
2.Erdogan ambae ni Raisi wa Turkey...
Russia iko tofauti Sana na nchi za magharibi kuanzia utamaduni na religious policies zao. Russia Dini ya orthodox inanguvu Sana mbaka kwenye ngazi ya maamuzi kitaifa tofauti na nchi nyingin ambazo dini ziko mbali na state affairs
Katika taarifa iliyotolewa na Chongyang institute for financial studies at Renmin University of China kilitoa taarifa ya njia, sifa, na madhara ya vikwazo vya kiuchumi vya marekani, na funzo kutokana na vikwazo vya Marekani kwa Urusi, na kwamba vikwazo havisaidii kusuruhisha bali KUZIDISHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.