Baada ya kufatiliana sana usemi huu wa watu wasiojulikana umetawala sana katika awamu hii ya tano kuliko awamu zote hapa Tanzania.
Ni ukweli usiofichika kuwa serikali ya awamu hii ya Tano imeminya Demokrasia, haitaki kukosolewa, haitaki kusahihishwa, Haitaki vyama pinzani.
Katika awamu hii ya...
hahahahahaha siyo bure mkuu ukinunua umeme kwa mara ya kwanza wanakata unit 50 sasa wakati wananiunganishia walinipa unit 10 hivyo katika 50 nawadai unit 40 sasa walisema watanitumia baada ya wiki moja lakini wapi siku zinasonga tu mpk nimechoka kusubiri.
Habari nilinunua umeme kwa mara ya kwanza meter namba 54182472701 Sasa unit zangu 40 bado sijapewa mpk leo nilikuwa naomba msaada wa kuzipata. eneo kibamba hondogo jina Bernard Bakari Lingowe
Kiongozi wa wananchi hasa katika nafasi ya kuchaguliwa na wananchi kama vile Diwani, mbunge na Rais wa Nchi, kazi yao kubwa ni kufata na kutekeleza kile ambacho wananchi wanachopenda.
mfumo wa watanzania wengi wakipata madaraka hata kwenye hivi vyama vya siasa, vyama vya wafanyakazi (Union)...
mimi nimelipia mwezi wa 8 bado sijawekewa umeme juzi tu nimeenda Tanesco mbezi nimeambiwa saiz wanashughirikia waliolipia mwezi wa saba. ndiyo hoja zao nilipoenda kuuliza mwanzo waliniambia wanadeal na waliolipia mwezi wa 4 - 6 saiz mwezi wa saba, ukienda utasikia tunadeal na waliolipia mwezi wa...
samahani mkuu mimi naomba tu ufafanuzi, logic ya mtu alipie kwanza unit 40 kisha mje mtume baadae baada ya kusota sana kusubiria ni nini???
pili logic ya kumpa mtu meter akaakae nayo siku tatu then aje ahangaike tena kituoni siku mbili nzima akifatilia meter yake kuingizwa kwenye system ni...
Kumekuwa na vishawishi vingi sana kwa watoto wa kiume kiasi kwamba wakati mwingine huwa ngumu kushinda vishawishi hivyo.
ni ukweli usiopingika kuwa hapa mjini dar es salaam mabinti wanajipenda bwana, wanajiremba mpk basiii. binti yupo radhi alale na njaa lakini apate vipodozi aringishie, nguo...
Sorry niulize tena nilisikia hizo meter za remote luku ikiisha unatakiwa uingeze token ndani ya meter 10 sasa kwa tuliojenga huku kibamba nyumba moja na nyingi ni zaid ya mita mpk 30 umeme ukiisha kuna njia mbadala??? pia nashukuru kwa jibu letu la kwanza
mnategemea kuanza kutandaza wire na kuweka mita lini?? pia mbona siku hizi mnapenda kutumia meter za kutumia remote controller zile meter za kawaida hamzitaki tena???. maana hizi mita za kutumia remote kwa nyumba za mbalimbali ni changamoto umeme luku ikiisha kabisa
tanesco ya Mbezi organisation ya kazi yao ni janga kubwa, chumba namba 8 ndo shida sana wapo wadada wawili pale hata kutoa maelekezo shida wanawambia msubiri then wao wanakimbizana na simu. ukienda tanesco kimara usitegemee kuendelea na shughuri zako. ujue hiyo siku itaishia pale mimi mwenyewe...
mwananchi :mbwembwe za mkuu wa mkoa wa Dsm zafikia tamati
Jamhuri : Magufuli afunga mjadala suala la makontena ya makonda
masoud kipanya : kusemaje mkuu naye kachoka kunilinda??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.