Habari Tanesco, nimefungiwa Mita mpya hivi karibuni, Mafundi wa Tanesco walipokuja kuunganisha UMEME, walinambia nitakuta Unit 10 baada ya siku 3 wataniingiza kwenye System na watanipa Unit zingine 40 ili jumla zitimie 50, na kwamba first time nikinunua UMEME natakiwa kulipia zile 50 then ninunue UMEME wa matumizi yangu.
Sasa inakwenda week ya 3 sijapewa Unit hizo 40, nilivyoenda Tanesco wakanambia inabidi ninunue UMEME kulipia unit 50 then ninunue UMEME kwa kiasi nataka....

Nikawauliza NAWEZAJE KULIPIA UNIT ZA UMEME AMBAZO HAMJANIPATIA...? KWA NINI NISILIPIE ZILE 10 MLIZONIPA THEN NIENDELEE KUNUNUA UMEME WA MATUMIZI YANGU...?
 
Namba ya mita mpya
Namba ya mita ya zamani
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Tunaomba hizo taarifa kwa hatua zaidi
 
Salaam Tanesco, napenda kuwashukuru kwa kusikia kelele na vilio vyangu juu ya kupelekewa huduma ya Rea kwenye kijiji cha Mabuye Wilayani Missenyi mkoani Kagera kwani mpaka sasa shughuli inaendelea kwa vitongoji vya MABUYE na RUHAMA. Lakini nirudishe kilio changu tena kwenu kwamba taarifa iliyopo kuna vitongoji viwili vya KIJUKA na ITALA mkandarasi anayeshughulika na mazingira haya bado hajapoke ramani wala maelekezo yoyote juu ya vitongoji hivi viwili hivyo hofu yangu ni kwamba vitongoji hivi amabavyo vina wakaazi wengi sana vinaweza kusalia bila Umeme. Chonde chonde Tanesco naomba msaidie hata vitongoji hivi visipitwe Huduma hii Bali vipatiwe pia. Nitashukuru.
Tumepokea swala lako kwa ufatiliaji zaidi
 
Namba ya mita mpya
Namba ya mita ya zamani
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Tunaomba hizo taarifa kwa hatua zaidi
Mwanzo ulikua unatumika UMEME (Share) toka Nyumba kubwa mpaka Vyumba vya Uani, nikaamua kutenganisha so Nyumba kubwa ikabaki na Mita yake ya zamani, na Vyumba vya Uani kupata Mita mpya....

MITA MPYA : 54183425245
MITA ZAMANI : 24213473044
MKOA : DAR ES SALAAM.
WILAYA : KINONDONI.
ENEO NYUMBA ILIPO : WAZO HILL.
SIMU: 0769535559
 
Tanesco Kigamboni, lini nitawekewa umeme jamani, taratibu zote nimefuata na miezi 2 imefika na imepita bado nazunguuka tu hata dalili za kufanikisha hazipo. Unapoenda ofisi zao (Kigamboni) husema eti mpaka wale wa mwezi January na February wafungiwe kwanza. Kwani taratibu zenu zikoje, wapi tutasaidiwa!??? Tanesco Makao makuu mnayaona hayo ya TANESCO Kigamboni!!??
 
Umelipa kwa jina gani na namba yako ya simu
 
Embaseni,Maji ya Chai,USA River,Arusha tupo kwenye Giza totoro toka juzi kulikoni Tanesco?
 
Namba ya mita mpya
Namba ya mita ya zamani
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Tunaomba hizo taarifa kwa hatua zaidi
Mwanzo ulikua unatumika UMEME (Share) toka Nyumba kubwa mpaka Vyumba vya Uani, nikaamua kutenganisha so Nyumba kubwa ikabaki na Mita yake ya zamani, na Vyumba vya Uani kupata Mita mpya....

MITA MPYA : 54183425245
MITA ZAMANI : 24213473044
MKOA : DAR ES SALAAM.
WILAYA : KINONDONI.
ENEO NYUMBA ILIPO : WAZO HILL.
SIMU: 0769535559

Any feedback..?
 
Napenda kutoa Shukrani zangu kwa Tanesco, hususani wewe Officer wa Tanesco ambaye una run hii Account ya Tanesco hapa JF...

Nimetumiwa zile Units 40 kama saa 1 lililopita.....
Asante.
 
Karibu sana mpendwa mteja wetu tunashukuru kwa ushirikiano uliotupatia kwenye kufanyia kazi swala lako
 
Kwanini hamtaki tupigie picha daraja la mtera?
mbn wenzetu wa manzese ni full kujiachia,ndio kwanza na wapiga picha tayari wapo pale,na sisi wa mkoani tukienda Dar bila kwenda kupiga picha juu ya lile daraja hauaminiki kama kweli ulifika Dar,sasa kwanini na pale bwawani darajani msituruhusu na sisi tujimwaemwae?
majibu tafadhali..

Ndo ivyo
 
Malalamiko yangu hususani kwenye mji huu au Mkoa huu yani Jiji la Arusha mjini katikati kabisa ya Arusha mjini Katika kata ya Sokonwani mtaa wa Lolovono Tumezungukwa na Uswahilini,ngusero,kwamorombo,
Nauliza swali kupitia huu mtaa wa Lolovono...
Inamaana bila hawa wawekezaji wa mitandao ya simu tusingeweza sisi wa namtaa kupata umeme?
Kwa maana umeme umeishia kwenye mitambo yao tu.
Huku sisi wanamtaa tukiwa hatuna umeme....hii nini hasa?
Mitaa yote iliyo tuzunguka ina umeme sasa hapa katikati yani Lolovono kuna shida gani?..
Ombi langu kwenu sisi wana mtaa tumejitosheleza vya kutosha yani tumekamilika kwaajili ya matumizi ya Umeme tunaomba japo mtu letee nguzo ili ziweze kusambaza umeme.
 
Tumepokea taarifa yako tutaifatilia.tunaomba namba yako y simu

TANESCO MAKAO MAKUU
 
Tanesco hampokei simu yenu tokea usiku 0768985100 mnaweka matangazo then mnakatika hewani. Shida yangu ni token ili niweze kununua umeme maana mmeamua kutukomesha na kuturudisha kwenye tarrif 1, namba ya mita ni 24212097125
 
Back
Top Bottom