Unaongea lugha ambayo haina Masada wowote. Mfano watoto tunaozalia huku inabidi tuwaludishe kwenda kusoma Tanzania na ni rahisi kuja kufanya kazi huku. Lakini aliyesoma huku hana ujanja wa kwenda kufanya kazi popote pale zaidi ya Mozambique na inchi zinazoonge kireno
Inategemeana na Mozambique ya wapi,hii ya kaskazini tumewalisha kiswahili yote maana imekuwa kama sehemu ya Tanzania,huwezi kushindwa kukutana na watu watatu ingalau mmoja anajua kiswahili
Hakuna lugha ngumu kama kireno,yaani Ukifika huku kitu cha kwanza wenyeji wako watajua kiswahili unachoongea ndani ya Mwezi lakini wewe itakuchukua zaidi ya miaka 10 kujua kireno
K
Hili suala la Askari wa jeshi la polisi kugeuka majambazi liangaliwe kwa upana zaidi hakuna anayekemea,wamekuwa wakipiga,kutesa,na kuuwa wanaangaliwa tu.Mwamba huyo Askari tunamjua mpaka kwake mke wake na watoto zake wanajulikana akae mkao wa kula zamu yake inakuja hawajui wanyarukolo huyu
Mbona simple sana inategemeana na mtaji uliyowekeza na aina ya biashara unayofanya. Mfano ukifungua saloon ya kisasa yenye mtaji wa milion 15 mpaka 20 hiyo pesa unaipata
Naona umeshindwa kunijibu,pole sana ndugu yangu,hii yote sababu umekaririshwa dini hujaingia kwa kutumia akili yako. Yesu kama Mtume wa Mwenyezi Mungu alipokuja duniani hakuwai kusema Dini yake ni Ukristo na hata alipopaa Wanafunzi wake hawakuwahi kuhubiri Ukristo,Dini ya Ukristo ilianzishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.