Recent content by Berbatorv91

  1. Berbatorv91

    Inatakiwa dhahabu, 100 Kg every month, 1 year Contract

    Mkuu jifunze kuhusu Karat na Carat, ni terms mbili tofauti.Carat inatumika ku-quantify hasa kwenye gemstone, 1Carat=0.2gram, ila Karat inatumika kwenye quality/purity ya gold, max ni 24k ambayo ndo 100%, pia kuna 22k,18k...
  2. Berbatorv91

    Wataalamu wa madini wanaitajika kutoa ufafanuzi.

    Mkuu Conversation rate ya Kilo to gram ni constat haijalishi ni bidhaa gani..Ila kwenye Dhahabu kinachoongezeka ni term inayoitwa Karat ambayo ni measure ya purity ya gold. Kimahesabu kupata thamani halisi ya kilo moja ya dhahabu lazima uzidishe na purity pia na bei ya dhahabu kwa uzito husika.
  3. Berbatorv91

    Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

    Geo una mikwara Sana aisee..!eka facts hapa watu wajue kipi Cha kuchukua, sio mboyoyo nyingi vitisho kibao, oh oh experience xpirience we ulizaliwa nayo!??! mboyoyo nyingi Kama wana wa Bsc with Geology aisee
  4. Berbatorv91

    Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

    Mkuu hii biashara unaifanyia wapi!?Nna interest nayo kupita kiasi Cha kawaida.
  5. Berbatorv91

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mkae humo Hadi January, tumalize mwaka vyema kwakeli.
  6. Berbatorv91

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Haiya..Nenda kAkazwe Toto.
  7. Berbatorv91

    Used Xiaomi Mi Note 4x inauzwa.

    Yes lipo.
  8. Berbatorv91

    Used Xiaomi Mi Note 4x inauzwa.

    Rear camera 13 Megapix Front camera 5 Megapix
  9. Berbatorv91

    Used Xiaomi Mi Note 4x inauzwa.

    Business.
  10. Berbatorv91

    Used Xiaomi Mi Note 4x inauzwa.

    Haha..subiri hapo hapo mkuu.
  11. Berbatorv91

    Used Xiaomi Mi Note 4x inauzwa.

    Imetumika kwa Miezi miwili. Ina hali nzuri Sana. Display 5.5" Fingerprint sensor Hybrid Dual SIM Supports 4G Original charger ipo. Bei ni..330,000/-Tsh CONTACTS:0756504029/0714145262
  12. Berbatorv91

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni Madhara ya LGBT, they are starting to come out..Msamehee tu mkuu.
Back
Top Bottom