Recent content by Bepari2020

 1. Bepari2020

  Tunaadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania au wa Tanganyika?

  Pia haitambuliki rasmi kimataifa. Tanganyika haina mwakilishi UN haina mwakilishi African Union (AU) haina mwakilishi East African Community (EAC). Haina mwakilishi kwenye jumuiya yoyote ya kimataifa. Haitambuliki FIFA au haitambuliki kwenye Olympics popote pale. Nyerere aliitupa chooni kama...
 2. Bepari2020

  Serikali imeungana na Dunia ya Kwanza kuwakandamiza Masikini. Acha wakandamizwe tu

  Watu binafsi na makampuni binafsi wana uhuru wa kufanya wanachotaka ili mradi hawavunji sheria za nchi zao. Naongelea misaada na mikopo inayotokea kwa serikali za Marekani na Ulaya. Zina masharti kwa kuwa ni kodi za watu.
 3. Bepari2020

  Serikali imeungana na Dunia ya Kwanza kuwakandamiza Masikini. Acha wakandamizwe tu

  Masharti yao wanaweka kwenye mikopo na misaada. Waarabu wengi hawamo kwenye hilo kundi.
 4. Bepari2020

  Tunaadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania au wa Tanganyika?

  Tanganyika Nyerere aliiflashi chooni mwaka 1964. Haipo tena. Angalia kwenye Atlas leo, Tanganyika haipo tena, angalia Google maps huoni Tanganyika.
 5. Bepari2020

  Utafiti 1990: Watanzania ni wavivu

  Wachina waliacha ujamaa siku nyingi kwa sababu ulifeli kule pia. Cultural revolution ya Mao Zedong iliacha China masikini sana na mamilioni walikufa. Korea kaskazini watu wanakufa njaa hawana uchapa kazi wa aina yoyote.
 6. Bepari2020

  Utafiti 1990: Watanzania ni wavivu

  Uvivu uliletwa na Nyerere na Ujamaa wake. Mashirika ya umma watu walilipwa hata kama hawafanyi kazi kwa bidii. Kwa sababu hayo mashirika yanabebwa na serikali hata kama yanafanya kazi kwa hasara.
 7. Bepari2020

  Serikali imeungana na Dunia ya Kwanza kuwakandamiza Masikini. Acha wakandamizwe tu

  Ukitaka mikopo na misaada ya Wazungu lazima ufuate masharti yao. Na kati ya masharti yao ni kufuata mfumo wa demokrasia, kulinda haki za binadamu. Kama wewe hutaki hayo masharti achana na hela zao. Wewe unategemea kodi ya shoga aliyeko Marekani au Ulaya ije hapa itumike kuwakandamiza mashoga wa...
 8. Bepari2020

  RC Makalla: DSM ina upungufu wa Maji wa Lita milioni 70 kwa siku sawa na 26%, Wananchi tumieni maji kwa uangalifu!

  Sasa sisi wenye ma swimming pool na ma landscape nyumbani tufanyeje? Tunahitaji maji mengi.
 9. Bepari2020

  TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

  Wataalamu waandike basi hiyo ERP itumike kwenye mashirika ya umma na pia tuuze nje ya nchi tuingize madola. Au wewe andika yako utajirike.
 10. Bepari2020

  TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

  Kama nimeandika kipo na wewe umekisoma. Labda wewe uwezo wako wa kuelewa kilichoandikwa ni mdogo.
 11. Bepari2020

  TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

  Kama wanayo si wangerekebisha halafu wangewapa Tanesco wanasubiri nini? Tena ERP software yetu tuanze kufanya export nayo kama biashara tuuze au tukodishe nchi zingine ituingizie hela. Tuendelee na kutengeneza hizo zingine tushindane na Microsoft, Android, Apple na makampunzi mengine tunazonunua...
 12. Bepari2020

  TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

  🤣 Haya pigeni marufuku software zote za nje ili zote ziandikwe na eGA. Microsoft, Android, Apple pigeni marufuku fanyeni kila kitu wenyewe. Software za kuongoza ndege airport tengenezeni wenyewe. Za mashine za hospitali tengenezeni wenyewe. Software ni software tuu ukitengeneza moja utaweza...
 13. Bepari2020

  TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

  Mbona huulizi wakati serikali inanunua software za Microsoft Windows? Kwa nini eGA hawaandiki OS itumike serikalini?
 14. Bepari2020

  Mungu wa mbinguni uwalaani wote waliouza gesi ya Mtwara kitapeli

  Kwa nini hamkuichimba hiyo gesi wenyewe? Mlikwama wapi?
 15. Bepari2020

  TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

  Mnaolalamika tengenezeni software zenu halafu mkawauzie Tanesco kwa bei nafuu kama mnaona ni kazi nyepesi. Kwa nini mnataka kuandikia mate wakati wino upo? Changamkeni fanyeni kazi andikeni hizo software halafu mkauzie hayo mashirika ya umma.
Top Bottom