Recent content by Benzoic

  1. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maxcom Africa: Mkataba wa kukusanya faini za barabarani umekwisha?

    Kuiba ilikuwa ngumu kwa sababu nakumbuka kamanda Mpinga aliwahi sema, Police wana server zao ambazo ndipo Maxcom alikuwa ana connect kwa hiyo data zilizopo Maxcom zipo pia Police. Utaibaje?
  2. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Nahitaji small Rice Mill combined with Pulverizer

    Yaani mkuu USD 200 ndio unapiga chini kuagiza toka China? Daaaah hata kama ni ubahiri huu kiboko kabisa. Muda huu unahangaika wenzio itakuwa tayari iko kwenye meli inakuja
  3. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya usimamizi wa mradi wa ufugaji Samaki

    Maji ya chumvi ya kisima yanafaa kufuga samaki?
  4. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

    Original kabisa
  5. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mbowe alishasikitishwa jinsi suala hili linavochukuliwa poa
  6. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Khadija na faru John wamepewa kipaumbere kuliko Saanane
  7. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mwangalifu hawezi kuitumia kuhonga au kuitumbua hovyo hovyo
  8. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nini nitakachofanya na 20M, vingi sana
  9. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Milioni 20 ukizitumia vizuri unaweza toka kimaisha
  10. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja vyangu vilivyopimwa Madale Mivumoni kwa bei nafuu

    Tupe distance kutoka wazo kiwandani au umbali kutoka barabara ya tanroads ile inayoenda kuunga rami ya Goba
  11. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Tukiwa na kadi ya kuingia harusi ausherehe yeyote kama ya mwendokasi ni biashara?

    Kuondoa wasimamizi mlangoni utahitaji mageti yenye scanner kila ukumbi kama yale ya uwanja wa Taifa. Ni big investment
  12. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kiwanja? Pita hapa uchague.

    Sipajui
  13. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Fundi wa finishing kali za nyumba yako huyu hapa

    Tangazo bila sample ni kelele
  14. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kiwanja? Pita hapa uchague.

    Hicho namba 8 kipo Goba ipi? Elezea vizuri
  15. Benzoic

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Shade Mbeya

    Wadau. Nahitaji wauzaji wa vifaa vya Shade na wataalamu wa kuzifunga site huko Mbeya. Mfano wa shade hapa chini.
Back
Top Bottom