Recent content by Bensonben

  1. Bensonben

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaja na style mpya ya kukulana

    Jibu alilokupa mkeo hujaridhika nalo , maana yake tayari unamajibu yako.
  2. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Wale samaki wa Hayati Magufuli walikuwa watamu sijapata ona

    Nakumbuka walituletea pale Minaki High school hao samaki aisee tuliharisha siku tatu mfululizo shule nzima siji sahau aisee R.I.p jiwe
  3. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu nahitaji hii show ya qx 110 complete na tv yake....bei gan
  4. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Serikali ruhusuni wahitimu wa kada ya elimu kuajiriwa sekta nyingine mfano uafisa mtendaji wa kijiji, maafisa maendeleo etc.

    Daaaaah hivi ni kwann wanaopewa kipaumbele ni walim na watu wa afya pekee yao!! Mbona kila kada ina watu kibao tu mitaani huko hawana ajira!
  5. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache Lawama.

    Asilimia kubwa ya watumishi wa umma walikua wanafanya kazi kwa maelekezo ya mwendazake...ndio maana mwendazake hawezi kwepa lawama hizi
  6. Bensonben

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

    Mambo ni mazito
  7. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Ubarikiwe Sana mkuu
  8. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Aksante aise
  9. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Aksante mkuu
  10. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Aksante
  11. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Soma uelewe
  12. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Aksante mkuu
  13. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Shukrani kwa ushauri mkuu.
  14. Bensonben

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Salamu, Mimi ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja, lakini pia nina degree moja ya Mambo haya ya ujenzi naandika uzi huu kuomba ushauri kutokana na kile kinachonisumbua na pengne kinanifanya nashindwa kufanya maamuzi na hasa nikiangalia soko la ajira lilivyo. Nafanya kazi hapa Dar ila family...
Back
Top Bottom