Recent content by benruby

  1. benruby

    Dark days 17/03/20

    yoga hv yule kijana aliemfataga current CEO wakati anataka kurudisha makombora Kwa BT,wakaanza kuçhiñjà chinja ndio huyu Ma FWer3 wa sasa hv yoga
  2. benruby

    Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

    Sio kila mtu anaweza kuwa tajiri na sijajua hapo umeegemea katik angle ipi Kma ni wa mali una siri zake na kila mmoja ana njia yake ya kupata. Tafuta hela kwa jasho lako zingatia misingi ya fedha na ufanyaji kazi wake utapata mali. Lakini sikushauri kupata mali kwa maagano ni mbaya kuliko ubaya...
  3. benruby

    Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Davy kisamba,Lusato wote walikuwa washkaji zangu Lusato classmate wangu K/nyonge Davy homeboy wangu sana sema naskia sa hv ni mtu wa Tungi Magita tena wanaliita Bojo. Tumeshindana sana kuvaa HandBand(Rebon) Yote sa hv ni story 😢 😅 😆
  4. benruby

    Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Hata Majani mwenyewe alishafariki. West. LAWAMA Ni moja kati ya Gangs Zilizokuwa zinanipa heshima kubwa sana USwazi,hakukua hata na mmoja wa kunigusa sababu wote walikuwa ni watu tuliokuwa tunafahamiana. Jamaica Mockers 🇯🇲 waliwahi kumTight mshikaji wangu mmoja Elly Mapaka (r.i.p) Tena Bonny...
  5. benruby

    MREJESHO: Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

    Huyo kama kaanza kuvimba sa hv ni pepo na inatakiwa ulikemee mapema. Wenzie wanayafanyaga uzeeni (mume ukianza kuishiwa nguvu) baba upweke unakunyemelea,mkwanja umekata/unapata hela ya kula tu,kwenye 🛌 hau+perform kma zamani,
  6. benruby

    Top Ten: Makabila ambayo watu wake upstairs pamechangamka

    Wazanaki ni asili ya wakurya,Nyerere katoka kwenye jamii hyo hyo Kusema hawajatoa rais ni kutokuwa na upembuzi yakinifu
  7. benruby

    Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17

    Ni ngumu watu kukuelewa. Hii ni sawa na nyingine nyingi zilizopita kama akina Ezzy E,MJ,R.Kelly,Dmx... Ni muongo mwingine ktk rap,kumbuka imetimiza miaka 50 tangu hapo. Diddy hachomoki kwenye hili
  8. benruby

    Magodoro unaletewa mpaka ulipo bure

    Magodoro ya upepo mko nayo pia
  9. benruby

    Uliwezaje kuishi na mtu Mwenye roho mbaya

    Dawa Yao ni kuwa mpuuzi tu, utamuumiza sana nishawahi ishi na mtu wa hivyo Wengi wao hawanaga exposure na ni empty minded. Ni watu flani hv wazembe wazembe, yaani hawezi fanya jambo lake bila kuskumwa na akianzisha jambo halimalizi ni lazma aishie njiani. We kuwa mpuuzi tu puuzia maneno...
  10. benruby

    SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Hawa si ndio kama wale wa Smart Mauzo. Usipolipia hata siku 1 stock inapotea Sitaki hata kuwasikia
  11. benruby

    Bila Tsh. Milioni 4.5 haurekodi ngoma kwa Producer S2Kizzy a.k.a Zombie

    @havanna sio kuzinguana rejea post yangu Nahreel alitangaza bei ya session kama alivyofanya zombie Weusi studio time Kwa beat makers wadogo Huwa hawalipi, Wao wanasema wanampa mileage producer Ngoma ikitoka na kuwa Kali, Session waliosema walipia ilikuwa ni B hitz wakati marehem Pancho yupo...
  12. benruby

    Husda za kazini mbaya sana

    Kosa la kwanza na la kujirudia ni [emoji3516][emoji3516][emoji3516] Achana nao Fanya kazi wasikutishe na wingi wao, ishi nao Kwa akili halafu hapo ni kazini sio Sehem ya kuwania Award ya kufurahisha watu. Unalea sana ujinga we mzee
Back
Top Bottom