Hizi new regime nyingi zinatawala kifamilia (watu wa familia Moja) wamegundua kukataa mabadiliko ya katiba, inapo karibia uchaguzi mkuu kauli mbiu inakuwa ni katiba mpya kwenye ulimbo wa ndoano
Wakimaliza kichaguana wanaahirisha kufikiri Kwa nafsi zao (wanajizima data)
Sababu ni: athari za unyumbu wa usuli; unyumbu wa kisiasa; unyumbu wa wabobezi
Human herding vs unyumbu
Human herding is an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of group objective and their personal gain
Human herding in politics is an occurrence of...
Kuna siku nilikuwa nafuatiali maongezi ya baadhi ya watu ninao wajue wanaakili pia wana hizi elimu za kimataifa (university level) nikataka kujua unamuelezaje mtu huyu ambaye anasema kitu unacho kujua tena ndicho kiko kwenye majukumu Yako ya kila siku anapo ongea tofauti na uhalisia wake...
Nina andiko langu kuhusu unyumbu wa kisiasa na unyumbu wa usuli liko jikoni (human herding)
Unyumbu wa kibinadamu ni tabia ya wale unao wajua kwamba wanaakili lakini ndiyo wanaongoza kuarisha kufikiri Kwa nafsi kwa ajili ya kulitumikia kundi Fulani kwa masilahi ya kikundi hicho na binafsi...
Hayo matatizo yanatokana na uongozi mbovu wa CCM, kiini cha mfumo wa kuto tenda haki
CCM haishilirikishi wananchi kikamilifu
Hayo matatizo ya wananchi yataendelea kuwepo kwasababu Tanzania tumeamua kutumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa
Unyumbu wa kisiasa ni mfumo wa wanaopewa dhamana kuahirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.