RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,648
- 2,408
Kiongozi namba 3 ndani ya serikal kuingia mtaani na kuanza kutatua migogoro ya ardhi, mikopo, gomvi za urithi ujue apo akuna kiongozi wala akuna nchi
Kwa hiyo kwa kuwa barabara zimejengwa ni sawa mtu kumfukuzia waziri mkuu karibia mikoa minne alifuatilia laki nane yake ambayo halimashauri hawajamlipa miaka 10 kwa uzembe tu.kwani ni kipi cha kushangaza hapo gentleman?
barabara zimejengwa kwa lami kote nchini, usafiri wa uhakika upo kutwa kucha, usiku na mchana tena kwa gharama za kawaida kabisa. Unenda leo, unarudi leo popote Tanzania hivi sasa gentleman.
hayo yote yamefanywa na viongozi wa serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan.
Geita Iringa ni mwendo wa masaa tu gentleman, unaenda na kurudi mchana kwa mchana.
Ni muhimu mkayajua na kuyaelewa mambo haya, kabla ya kupotosha wafuata mkumbo na malofa wenzenu gentleman 🐒
Mwacheni Mwigulu afanye kazi.Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye.
Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo haikuja na suluhisho ingawa yeye alikuwa walau anaumia vile viongozi wake wa chini walikuwa wazito kutatua hata mambo madogodogo.
Pia soma: Dkt. Mwigulu: Nilishataka kila mmoja ajaze fomu kitu alichonacho, nikaambiwa nitaleta taharuki kwanza hiyo niachane nayo
Tatizo hii mada yako inamshambulia Mwigulu huku ikionyesha kwamba wewe ni mmoja wa wale wanaotumwa kumchafua.Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye.
Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo haikuja na suluhisho ingawa yeye alikuwa walau anaumia vile viongozi wake wa chini walikuwa wazito kutatua hata mambo madogodogo.
Pia soma: Dkt. Mwigulu: Nilishataka kila mmoja ajaze fomu kitu alichonacho, nikaambiwa nitaleta taharuki kwanza hiyo niachane nayo
Kero nyingi za wananchi ni matokeo ya mfumo wa uongozi wa CCM (kero ambazo zimesababishwa na CCM)Waziri mkuu wa Hovyo kuwahi kutokea Tangu Tanganyika
Au sio!?Mwacheni Mwigulu afanye kazi.
Madudu mengine anayibua yanatisha.
Nachukia sana viongozi wanaojipendekeza kutatua matatizo ya baadhi ya wananchi nje ya mifumo iliyopo...tena mbele ya camera... Huo ni upendeleo wa wazi!Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye.
Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo haikuja na suluhisho ingawa yeye alikuwa walau anaumia vile viongozi wake wa chini walikuwa wazito kutatua hata mambo madogodogo.
Pia soma: Dkt. Mwigulu: Nilishataka kila mmoja ajaze fomu kitu alichonacho, nikaambiwa nitaleta taharuki kwanza hiyo niachane nayo
Hizo ni dalili za ujinga...Mimi sio ccm.ila ninapoangalia mikutano ya mwigulu na kutatua matatizo Yao hapo hapo.
Kwa kweli namkubali sana.
Kuna watu ukiwasiliza matatizo Yao mpaka unajiuliza hivi mwigulu asingekuwepo angepata wapi haki yake?
Kweli mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Wewe huna tatizo ndo maana haujamfata.Hizo ni dalili za ujinga...
Kwenye nchi ya watu zaidi ya 60M tegemea kuwa wenye matatizo kama hayo yanayopelekwa kwa viongozi wa kisiasa ni wengi... Kiongozi makini angejitahidi kudeal na mifumo iliyofeli kutatua matatizo ya WaTanganyika!
Unasolve tatizo la mtu mmoja mbele ya camera alafu wengine wakasaidiwe na nani? Au nao wajipange foleni kusubiria microphone?
Ujinga ujinga ujinga!
Kwanza ni jambo la ajabu waziri mkuu hasa wakati ambapo serikali inapaswa kubana matumizi kuzunguka na kutatua matatizo ya shamba linalogombaniwa na watu wawili wakati kuna mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,waziri husika.Hii inaonyesha kuwa mfumo wetu wa utatuzi wa migogoro na upokeaji mogogoro ama umekufa au umejaa urasimu.Pili waziri mkuu ni kama ameacha majukumu ya kuwa waziri mkuu ameuvaa uwaziri wa kila sekta.Kazi ya waziri mkuu ni kuhakikisha utendaji lakini yeye ameacha hilo na anatafuta umaarufu binafsi.Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye.
Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo haikuja na suluhisho ingawa yeye alikuwa walau anaumia vile viongozi wake wa chini walikuwa wazito kutatua hata mambo madogodogo.
Pia soma: Dkt. Mwigulu: Nilishataka kila mmoja ajaze fomu kitu alichonacho, nikaambiwa nitaleta taharuki kwanza hiyo niachane nayo
Hayo matatizo yanatokana na uongozi mbovu wa CCM, kiini cha mfumo wa kuto tenda hakiMimi sio ccm.ila ninapoangalia mikutano ya mwigulu na kutatua matatizo Yao hapo hapo.
Kwa kweli namkubali sana.
Kuna watu ukiwasiliza matatizo Yao mpaka unajiuliza hivi mwigulu asingekuwepo angepata wapi haki yake?
Kweli mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.