Recent content by Benno Bongo

  1. Benno Bongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warangi Mnawaonea. Ukikataliwa na Mkenya Kaoge maji ya baharini🤣🤣

    Wakamba wa wapi hao wagumu?
  2. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Homa ya Uchaguzi yazidi Kupanda, Wabunge wajichanganya hata kwenye Maeneo ambayo waliyapuuza miaka yote

    2020 wengi walipita kwa upepo wa magufuli, awamu hii hamna mbeleko
  3. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Mbinu wanazotumia wahalifu kutakatisha fedha

    Kwenye madili haramu, kuiba, ufisadi, rushwa, kuuza unga n.k
  4. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Mbinu wanazotumia wahalifu kutakatisha fedha

    Unaogopa nini mkuu 😀?
  5. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Mbinu wanazotumia wahalifu kutakatisha fedha

    Thread yangu ni kama kichokoza mada. Katika miaka ya zamani wezi, mafisadi, wauza unga wengi walitakatisha fedha kupitia ndoa, mhusika anaoa ama kuolewa na public figure yeyote then kutakuwa hamna maswali yeyote kuhusiana na matumizi yake kifedha kutoka kwa jamii. Kwa miaka ya karibuni...
  6. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Ila kutapeliwa kunauma wakuu

    Matapeli mara nyingi wanacheza na vitu hivi kutapeli watu; huruma, tamaa na ujinga wa mhusika.
  7. Benno Bongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

    Inawezekana kwa watu waliokua kiakili, kimwili na kiroho
  8. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

    Hizi pia zinaweza kuwa sababu: 1. Chakula anachokula, siyo nyasi tu 2. Kundi la mnyama(omnivores) 3. Hygiene ya mnyama 4. Haiba ya mnyama(anaweza akakung'ata ukiwa unamkamua) 5. Mfumo wake wa umeng'enyaji chakula (siyo ruminants)
  9. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Mchele wa Mbeya unaouzwa na kampuni ya Korie ni utapeli mtupu

    Nawatahadharisha walaji wengine wasije wakaingia mkenge
  10. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Mchele wa Mbeya unaouzwa na kampuni ya Korie ni utapeli mtupu

    Mtamu, unanukia na kuchambuka
  11. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Mchele wa Mbeya unaouzwa na kampuni ya Korie ni utapeli mtupu

    Kuna mchele unauzwa na kampuni ya Korie wanaita mchele wa mbeya upo kwenye package ya 5kg, huu mchele ni utapeli mtupu wamepack mchele wa kitumbo halafu wanaubrand kama mchele wa mbeya ili wauze bei juu.
  12. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga selian

    .
Back
Top Bottom