Teh teh Teh eeeeh. ... Hapa ndio RC wanabaki wanachekelea tu kuona tunavyojitutumua kwa tusivyovijua , maana tungejua Kama wao wenyewe ndio watunzi wa hicho kitabu/biblia.,na wao ndio waliamua kipi waweke na kipi wasiweke ...leo tusingepoteza energy zetu juu yao !
*HUWA NASHANGAA SANA KUONA...
sasa mkuu, kama hujawahi unauhakika upi na suala la uenyeji? unauhakika upi kama hawa wanaofanya hawaongozwi na mungu? unauhakika upi kama utakutana na roho chafu.
#mwisho ni kwamba kama ikitokea kwako utakuwa na uhakika gani kama utakuwa unaongozwa na mungu?... natumaini utanielezea vizuri ndugu!
ndugu muxar, hii thread kwani wewe umeielewaje?
maana kinachozungumziwa hapa ni mtu kujiunganisha na chanzo chake halisi, ajijue yeye ni nani? katoka wapi? na kwanini yupo hapa duniani?
ila pia kama wewe hupendi kuitambua kweli iliyo ndani yako hakuna wa kukulazimisha na pia hatuwezi kukulaumu...
Kwa jinsi nilivyoelewa... ni kwamba kama mtu akijitambua na kuielewa kweli iliyo ndani yake ni uhakika uliokamilika kuwa ndani ya mtu huyo kutakuwa na UPENDO. na upendo siku zote hutoka ndani ya mtu bali si nje, na ukiwa na upendo kamwe hutokuwa mtu wa lawama lawama kama thread inavyoelezea...
nafikiri ni kwa sababu ni kitu kilicho ndani yako... hivyo huwezi kununua.
na kuhusu kutotolewa bure nafikiri alimaanisha huwezi kuiona/kuipata kirahisi... hivyo inahitaji juhudi zako binafsi
1- unavyosema mtu ukiwa kwenye mwanga haufi unakuwa unamaanisha nini ?...je paulo, musa, yohana, marko n. k. hawakufa Kama yule gavana wa kirumi ? je hata yule masiha aliyetoka kwa bwana je ?...au unaweza kunitajia mmojawapo aliye kwenye mwanga ambaye hafi ?
2-Asilimia kubwa ya watu wanaosali ni...
1:uongo wa hii falsafa ni nini?
2:NI KWELI ndugu tuliumbwa tukiwa wakamilifu, na swala la kuingia gizani si kweli tuliingia wote... labda ungesema uliingia wewe na baadhi ya unaowajua ulioingia nao, hilo linajidhihirisha katika mfano wako wa kuua kwamba si wote walio gizani ila ni wachache tu...
@mods, hii habari imekaa ki intelligency ingekuwa vyema kama mngeiondoa huku kwenye michanganyiko... maana hii michanganyo michanganyo bwana yesu ameikataa.
Cc Invisible
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.