Ndugu pamoja na kuwa kuna kasoro kadhaa ktk Catholic Church bado hakuna unachokijua kuhusu RC, hayo ulocopy na kupaste hapa yalishazungumziwa miaka mingi na bado kanisa liko imara. Nakushauri rudi ukatafute maarifa upya...Ulivyo ndezi mbishi utapingana na hayo maelezo..kwa kudai ni uzandiki but nimekupa na facts real...
Ndugu pamoja na kuwa kuna kasoro kadhaa ktk Catholic Church bado hakuna unachokijua kuhusu RC, hayo ulocopy na kupaste hapa yalishazungumziwa miaka mingi na bado kanisa liko imara. Nakushauri rudi ukatafute maarifa upya...
Nilimjibu kutokana na hili bandiko lake alilocopy huko mtandaoni..Sidhani kama lengo la mleta mada lilikuwa kuyumbisha kanisa RC lengo ni kuwafunua macho wasiojua huu ukweli
Kumbuka shetani ana akili na mbinu zaidi ya unavyodhani chunguza sana kama ww ni muumini wa kweli soma sana ufunuo na daniel
Hahaaaaaa nilitaka fahamu ili pia,maana benki zote zao sasa na hizi niajemmmh! wanamiliki benki zote! hata meru community bank na njombe community bank?
The blue print for the NWO is:
* Abolition of all ordered governments
* Abolition of private property
* Abolition of inheritance
* Abolition of patriotism
* Abolition of the family
* Abolition of religion
* A global population of 500 million
* Creation of a world government
Halafu bado unabisha kuwa wewe sio msabato Nyamabhi !Jamaaaaa..una akili snaa...mungu mwenyew anatambua kuwa shetan ndio mtawala wa hii dunia hata pale mungu akasema...he is the prince of thy world..ndio mana hata pale yesu akafunga jangwani zike siku 40 shetan alimjia akamwambia kama ukinisujudu hakika nitakupa mali na thawabu kubwa za hapa duniani...yan pale inadhihilisha kabsa kuwa hata yesu mwenyew alilitambua hilo..
Halafu leo hii mtu hujui kinachoendelea unasema mambo ya kizushi cjui wanakopy google..daaaaah..pole sana ndg..nataman kukutafta nikupe hata mengine mazito juu ya utawala huu wa pembe ndogo (rumi) juu ya dunia hii..
Kwa mfano unaweza ukanipa mana halis tukachambua unabiii wa kitabu cha ufunuo kinachozungumza mambo hayo ..??
Kama upo tayr niambie tuanzishe thred hapo chini tueleweshane juu ya unabii unaozungumzwa na maana yake....
"
""Na tazama nikamwona mnyama akitoka katika bahari..
""Na tazama nikamwona mnyama mwingine akitoka katika bahari..
Hivi unaelewa juu ya hayo maneno hayo na umaana wake au unaendeleza kubisha kisa umeonekana huna point kazibkubisha tu..bila shaka wew utakuwa katekista wa kanisa katoriki au utakuwa frateli...daaaah...
Tatizo biblia hiyo hiyo hamuisom mkapewa au kujua ujumbe mzito uliomo ndani kazi kwenda kanisani na misale ya waaumini et mwongozo wa ibada badala ya kubeba biblia ..
Unajua ni kwanini mapadri hawaitumii biblia kama mwongozo wa ibada.?? ,, ni kwa sababu wanaogopa kuna watu watahoji vip kuhusu fungu hilo mbona hivo...yan ndo mana wanawPa mafundisho tofaut na biblia..
Ukitaka kuamini kwanin mafundisho yote ya kanisa katorik hayagusi vitabii vya unabii ...??
Just think twice and try to review you brain ability to monopolize false ideas and come here while improved..
Haikuwa na haja ya kuquote kwa kusema tu neno tu chache hivyoShukran Mkuu,nimejifunza kitu kipya JF.
Hv vitabu vya biblia vilikusanywa na kuandikwa na Nani mpaka kila kanisa linatumia Biblia huku wakiamini walioandika waliongozwa na roho mtakatifu. Sasa roho mtakatifu aliyewaongoza Roma kuunganisha vitabu ikawa Biblia ameondoka lin kanisani kwao, miaka karibia 1600 kanisa likiwa moja tu RC, kipindi chote wametunza Biblia mpaka vikanisa vipya vya 1800 na 1900 vikaja kuitumia. Mbona kuna makanisa makubwa sasa hv wanafungisha ndoa za jinsia moja makanisani mwao ila hawaongelewi, wanaongelewa RC ambao hawajaruhusu ushoga. Kikubwa ni kwamba RC Ina waumini wengi hivyo kila anayeanzisha kanisa anaona alichafue ili aweze kujipatia waumini.
Sala au dua siyo lazima itoke kwenye msahafu. Hata wewe unaweza kubuni yako. Lengo ni kuwa na mawasiliano na Mungu.Wapi SALAM MARIA imefundishwa kwenye bibilia?
Sala au dua siyo lazima itoke kwenye msahafu. Hata wewe unaweza kubuni yako. Lengo ni kuwa na mawasiliano na Mungu.