Recent content by benjaminmathayo

  1. B

    Kisoi hardware karibuni dukani kwetu

    Choo chakukaa cha India bei gani
  2. B

    Wadau wa IT/ICT nauza DWR-113 3G WiFi router

    Unajua hapa nilipo mm hakuna 3G hakuna cha vodacom wala halotel 3G ipo maeneo ya mjini tu
  3. B

    Wadau wa IT/ICT nauza DWR-113 3G WiFi router

    Manyoni singida sehemu moja inaitwa londoni
  4. B

    Wadau wa IT/ICT nauza DWR-113 3G WiFi router

    Mkuu vp hata huku ambako 3G haishiki kabisa itaweza kushika.
  5. B

    Computer4Sale Laptop na Tablet mpyaa kwa bei pouwa: 30% discount

    Mkuu nahitaji lap top ya dell core i7 storage iwe 1 TB iwe na speed nzuri ya kufanya kazi ya kubani dvd na kuingiza muvie kwenye frashi.
  6. B

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Wakuu nimekuja kwenu kuomba mwenye uwezo wakunichimbia bwawa lakufugia samaki kuanzia 12000-15000 tuwasiliane kupitia 0756888861.nakabidhiwa likiwa tayari likiwa limekamilika kila kitu yaani likiwa tayari kwa ajiri yakufugia samaki .
  7. B

    Nahitaji kuchimbiwa bwawa la kufugia samaki

    Wakuu nimekuja kwenu kuomba mtu mwenye uwezo wakunichimbia bwawa la kufugia samaki na kulitengeza liwe tayari kwakuweka samaki naomba tuwasiliane kupitia 0756888861.nahitaji bwawa lenye uwezo wakufuga samaki kuanzia 12000 haad 15000 napatikana singida.pia karibu kwa ushauri maoni na nyongeza.
  8. B

    Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    750 hiyo ndiyo sawa na shilingi ngapi
  9. B

    Wauza mageti ya dukani

    wakuu nimekuja kwenu natafuta geti kama kwaajili ya flemu za duka pia ambaye anauza nivizuri angetoa na bei yake flemu zenyewe zina upana wa futi sita na urefu wa futi Tisa.
  10. B

    Wazalishaji na wauzaji wakubwa wa mchele(Long grain white rice)

    Nina rafiki yangu ana gunia 200 ofa yako bei gani kwa kilo
  11. B

    Pikipiki ya boxer inauzwa

    Chukua laki 7mkuu
  12. B

    Nauza kiwanja Dodoma mjini bei ya kutupa

    Mkuu kama kina hati niambie nikucheki
  13. B

    Tecno siyo Simu ya Kujisifia na Kuifananisha Na High Quality Phone

    Ww asikuambie mtu kulingana na uchumi wetu Tecno wako poa sana ebu angalia uwezo wa phatom6 inauzwa laki6 halafu uniambie Samsung au Sony yenye uwezo kama wa phatom6 itauzwa shilingi ngapi.
Back
Top Bottom