Recent content by benjamini org

  1. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu watalaam walio wahi kushinda na wanaoendelea Kushida mbet watupe ujanja na sisi jamanii
  2. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sjakupata mkuu nisaidie nmepoteza zaid ya laki moja sijashindaaa hata moja mmh
  3. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haman mliokulia vijijini mtupe ujanja
  4. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani Anaye jua Formula Ya kujua nani atashinda katika Mechi yoyote Ile atupe utundu hap
  5. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu certificate of nursing mwaka huu, mwaka kesho nitaruhusiwa kusoma diploma?

    Watu wengine wanasema kuunga jamani kutoka certificate ya nursing kwenda diploma je inakubarikaa?? 2. Kuchange course kutoka certificate burning kwenda Clinical assistance/Officer inakubalika naombeni majibu yenuu wakuuu ntashukurusana
  6. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma nje ya nchi kozi ya nursing, je ni vitu gani natakiwa niwe navyo?

    Nataka kusoma nje ya nchi koz ya nursing je ni vitu gani inatakiwa niwe navyo ushauri jamani
  7. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    NTAWASAIDIA HAPA NDO KILA KITU NJIA YA CALENDAR NI FATILIE KWA UMAKINI SANA USIJE JAZA KIJIJI. 1. Mwanamke/Mwanaume kuwa muwazi na bleeding day yake kwa mwanaume. 2. Ujue mzunguko wa mpenz wako kama ni mrefu au mfupi lakni njia hii favourable kwa 28days only it work better 3. Avoid 14 day ya...
  8. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya vidonda vya tumbo

    Mkuu wanapatikana wapii mm mwenyewe mgonjwaa yana miaka zaid ya 5 sahv situmii maharage. Dagaa. Viazi naombeni msaada
  9. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu certificate of nursing mwaka huu, mwaka kesho nitaruhusiwa kusoma diploma?

    Naombeni Msaada wakuu nina maswali mawili naombeni aliye na uelewa anisaidie 1. Kama nimehitimu mwaka huu Nursing certificate nahitaji kuendelea kusoma mwaka kesho diploma jee inakubalikaa??? Au hadi ufanye kazi serikalini kwanza. 2. Kama nimehitimu nursing certificate mwaka huu nahitaji...
  10. benjamini org

    JamiiForums Tanzania FreeDOS Operating system Install CD and Source code

    Jaman CD hii inakazi gani mhimu katika computer Free DOS. operating system install CD and source code
  11. benjamini org

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa simu iliyopotea au kuibiwa

    mkuu alama zote zipo nilihitaji tuu kama kuna udhibitisho mwingine ili utusaidiee
Back
Top Bottom