Recent content by BENJAMIN DENNIS

  1. B

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Ukihitaji misumari ya bati za rangi tucheck.........tupo buguruni tutakuuzia kwa bei ya jumla Namba zetu ni 0766779912 karibun sana
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benchmark yafungiwa na TRA kwa kudaiwa kodi ya bilioni 7

    Duuuuu, inamaana biashara hyo anapata faida sh ngapi mpaka adaiwe Bil 7??????????????????
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

    Mambo, umeshampata mchumba?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja madale

    Kina ukubwa wa mita 20*20, kipo sehem nzuri bei yake ni milioni sita na nusu (6.5M) kwa mawasiliano piga 0719885562 au 0766779912
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua shamba Rufiji

    ALF Mimi nahitaji kukodi shamba maeneo ya bungu nataka nilime matikiti, unaweza kunisaidia kujua gharama za kukodi shamba kwa heka moja ni sh ngap? eneo liwe karibu na maji au pawe rahisi kuchimba kisima
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeanguka kwenye penzi la mume wa mtu

    Unafanya kazi gan
Back
Top Bottom