Recent content by benjamathayo

  1. benjamathayo

    Nahitaji mwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu singida

    habar za mda huu wadau wote wa sekita ya madini Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji muwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu mkoan singida nina lesen pml kuna maduara tayar udhalishaji ni 1gram kwa tani hadi 5gram kwa tani inategemea ni duara lina urefu gani lkn maduara yanapata miamba...
  2. benjamathayo

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hizo story zakuambiwa njoo kwenye kazi zenyewe sasa
  3. benjamathayo

    Naomba kujua namna ya kuondoa kovu kichwani

    Nina kovu la kichwani ambalo lilisababishwa na mashilingi utotoni sasa nywele hazioti naomba ushauri wenu ni wapi nitapata tiba yakutibu hili kovu na nywele zikaendelea kuota kama kawaida.
  4. benjamathayo

    Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    Nahitaji pipe kwa ajili yakuunganishiwa maji nyumbani inchi 1.5 meter 150 mtaniuzia kwa bei gani nipo manyoni
  5. benjamathayo

    Nahitaji marine board na mirunda vilivyotumika Dodoma au Singida

    Natumain wote ni wazima mnaendeleea na kupambana kutengeneza uchumi wenu na wa Taifa letu. Nahitaji marine board na mirunda vilivyotumika Dodoma au singida kama unauza au unajua anayeuza na unaweza kuniunganisha naye nitafute 0625695552 .
  6. benjamathayo

    Phone4Sale Nahitaji marine board na mirunda vilivyotumika Dodoma au singida

    Natumain wote ni wazima mnaendeleea na kupambana kutengeneza uchumi wenu na wa Taifa letu. Nahitaji marine board na mirunda vilivyotumika Dodoma au singida kama unauza au unajua anayeuza na unaweza kuniunganisha naye nitafute 0625695552 .
  7. benjamathayo

    Tunatengeneza urembo wa mageti, fensi, madirisha, milango, balcon na vitanda

    Mkuu nahitaji mageti ya dukani yale yanayofunguka kwa kupanda juu
  8. benjamathayo

    Nauza baiskeli za gia na za watoto

    Baisikel ya watoto kati ya miaka 7 had 13 nitaipata kwa bei gani
  9. benjamathayo

    Ushauri kwa wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo cha papai

    Ukizingatia usafi shambani na kuwepo na mvu za wastani haishambuliwi na wadudu ila siwezi kudhibitisha hilo maana nyakati zinabadilika ila hapa kwangu sikuwahi kupiga dawa kuhusu soko kidogo nichangamoto nilitafuta wanauza matunda sokoni na magengeni kadha nikawa nawapelekea ilisaidia kidogo...
  10. benjamathayo

    Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Naishi singida nahitaji kulima parachichi naomba wazoefu wa maeneo na watalamu mnishauri nimkoa gani nasehemu gani nzuri kwa kilimo hicho kati ya Mikoa ya Iringa, Mbeya na Njombe ikizingatia maeneo ambayo parachichi zitakubali,upatikanaji wa mashamba,miundombinu na soko .natanguliza shukuran kwa...
  11. benjamathayo

    Naomba ushauri kuhusu matumizi ya nondo katika ujenzi wa ghorofa

    Kama unataka kujenga nyumba yakichina mfuate mchina ndiyo maana vitu vya kichina vinahalibika haraka ila kama unahitaji kujenga ya imara na yauhakika fuata ushauri wa fundi chuma namm kuna chumba kimoja cha najenga bush ila nimejenga kwa kulaza tofauti nguzo nimetumia 12mm na slab nitatumia 12mm...
Back
Top Bottom