Naomba kujua namna ya kuondoa kovu kichwani

Naomba kujua namna ya kuondoa kovu kichwani

benjamathayo

Member
Joined
May 22, 2018
Posts
76
Reaction score
81
Nina kovu la kichwani ambalo lilisababishwa na mashilingi utotoni sasa nywele hazioti naomba ushauri wenu ni wapi nitapata tiba yakutibu hili kovu na nywele zikaendelea kuota kama kawaida.

IMG_3462.jpg
IMG_3463.jpg
 
Kama linafanya kichwa kiwe kizito, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Back
Top Bottom