Recent content by Benito Josh

  1. B

    Mwanasheria mkuu Zanzibar: Kutokuwepo serikali ya Tanganyika ndio kero kuu ya Muungano!

    Kinachokufanya umuite huyu Jamaa feki ni nini hasa? Yale ndio mawazo yake kuhusu muungano na kajieleza vizuri tu. Na wewe toa mawazo yako sio kutupigia kelele eti serikali tatu ni ujinga mtupu. Toa wazo lako kwa hoja zenye mashiko basi.
  2. B

    Dr. Ndalichako na waandishi wetu wa habari

    Dah!. Mkuu umenena vema sana.
  3. B

    Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

    Ndugu unatumia nguvu nyingi sana ku-uaminisha umma we ni kipanga. Bora hizo nguvu ungezihifadhi na kuzitumia 2015 kupiga kampeni ungeweza pata hata udiwani.
  4. B

    Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

    Okey.. bro nimekupata. Haina haja ya kushindana nao maana wote tuliopo vyuoni lengo letu ni moja regardless mtu anasoma chuo gani.
  5. B

    Mchumba wangu ananitesa jamani

    Mkuu utakuwa na tatizo asee.. Ndio nini umeandika hapa. Kiruuu...
  6. B

    Nisaaidieni katika hili,naishiwa nguvu sana kwa hili...

    Hahah.. Comment of the Day kwa upande wangu ni hii.
  7. B

    Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

    Mjomba Elimu ni Elimu tu usipojipanga lazima ukamatwe. Na sio watu wa kwanza kudisco hawa ni kila mwaka watu wanadisco sema kwa kuwa taarifa watu mlikuwa hamzipati ndio maana imeonekana ni jambo la ajabu sana.
  8. B

    Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

    Dah! Mjomba inabidi uache chang'aa maana inakupeleka pabaya.
Back
Top Bottom