Recent content by Benice

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu open university wameshashotlist watu wa interview?

    Duh kumbe tayari..mi nimekazana kusubiri lol
  2. B

    JamiiForums Tanzania kuhusu maombi ya mkopo wa bodi

    Naomba kujuzwa eti bodi ya mikopo tayari wameshatoa form za kuomba mikopo kwa form six leaver??? Nijuavyo huwa wanaanza baada ya matokeo kutoka....ila kuna mtu kaniambia wameanza....msaada wadau kwa mwenye taarifa rasmi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sera mbaya za Access Bank Tanzania zasababisha wafanyakazi kukimbia

    Pale access ni majanga makubwa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vacancy announcement Utumishi

    Haya wanajamvi utumishi wametangaza tena ajira pitieni website yao www.ajira.go.tz...... ... Mwenye kuweza kucopy aweke hapa... Nawasilishaaaa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya ceragem tanzania

    Jamani inamaana hakuna anaewajua hawa? Nilitegemea kupata majibu mazuri humu ndani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nimebanwa na mafua mkali mno!

    Pole nunua Vicks chemsha Maji Kisha weka Vicks kiasi kwenye maji jifukize Mara 3 kwa siku
  7. B

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya ceragem tanzania

    Habari zenu wannajamvi..naomba kuuliza juu ya hawa wakorea wenye kituo cha seragem..je? zile mashine zao zinasaidia?. Yoyote mwenye uthibitisho wa kuona aje hapa anihakikishie.. Nina binti yangu ana 1.8 year.. alipata homa ya uti wa mgongo kwahiyo ikimsababishia celebral palsy. so mpaka sasa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waungwa nisaidieni, mtoto wangu ana miaka 3 sasa lakini haongei wa hawezi kula mwenyewe

    Hiyo ni celebral palsy..jaribu kumpeleka kwenye speech therapy na mchanganye na watoto wenzie..ataongea tu usijali...binafsi niko kwenye changamoto kubwa kama hiyo. mi mwanangu aliumwa homa ya uti wa mgongo leo katimiza mwaka na miezi nane hawezi kukaa bado..pia Maombi muhimu tuwaombee sana...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya Makonstebo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

    Niangalizie majina ya S
  10. B

    JamiiForums Tanzania Huawei

    Mi mbona haijawahinisumbua? Nina Y300..nenda kwenye ofisi zao
  11. B

    JamiiForums Tanzania What's-up BOT & TPDC?

    Dillema
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Email me tafadhali..kwenye benignisr@ yahoo.com
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni zile nafasi za bot

    We jifanye kama hukuomba kama junta lolote utasikia hapa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Hebu tuandikie kwanza hizo post walizotangaza ili tuombe wote
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujuzwa Maswali Wanayouliza Kwenye Interview za NHIF

    Mi mwenyewe natia timu wanipigie wasinipigie..maswali yao yanahusu post uliyoomba
Back
Top Bottom