Recent content by Benews

  1. Benews

    JamiiForums Tanzania Latest Betway Signup Code Africa -Official Voucher Codes for 7 Countries

    New to Betway? Use these official Betway signup codes to unlock your welcome bonus across Africa. Each country has a unique voucher code that activates the 100% first deposit match + free bets. Here’s the complete 2025 guide for Tanzania, Ghana, Nigeria, Zambia, Mozambique, South Africa, and...
  2. Benews

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We jamaa una wivu sana , utadhani mhindi baba yako
  3. Benews

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🤣🤣🤣 hapo panahitaji busara sana lakini kiuhalisia tanzania hajafuzu kwenye kundi bali amefuzu kwa jumla ya timu zote best looser wa mashindano
  4. Benews

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Best looser hailipwi mkuu
  5. Benews

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man u aliamua kuondoka na milion 72 yangu 😓
  6. Benews

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kila mtandao una vigezo na masharti ambapo kimsingi kwa mty anayejielewa kabla ya kukubali sheria na masharti na kujisajili nilazima asome na kukubaliana navyo
  7. Benews

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

    Unachanganyikiwa kijana
  8. Benews

    JamiiForums Tanzania Kisa cha rais Mkapa na spika mstaafu Anna Makinda

    Namuona mama wa Taifa Titi mohhammed
  9. Benews

    JamiiForums Tanzania Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Wakati amekaa kimya wewe ulimtafuta?
  10. Benews

    JamiiForums Tanzania Kutambua Kama mtoto ni wako kwa kutumia Blood Group

    Hii mada yako haina usahihi mkuu. watu wote duniani wapo katika magroup matano tu A, AB, B 0 , na Group Nadra. Sasa kivyovyote wewe watu unaofanana nao blood group ni wengi sana kwahiyo hoja yako haina mashiko
  11. Benews

    JamiiForums Tanzania Kisa cha rais Mkapa na spika mstaafu Anna Makinda

    Acha kuandika pumba unadhani kila mtu ni mjinga ? Uliza aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma 1995 hadi 2000 ni nani
  12. Benews

    JamiiForums Tanzania Kutambua Kama mtoto ni wako kwa kutumia Blood Group

    Haya majamaa ambayo hayajaenda shule ndio yanakuja kutusumbua huku mtandaoni ma habari za upotoshaji . Hivi mtu kabala hujaandika kitu huwezu hata kujihoji?
  13. Benews

    JamiiForums Tanzania Kama Qur’an ni ya watu wote kwanini ilishuka kwa Kiarabu?

    Ilishuka kivipi mkuu ? yani haikuandikwa na binadamu na wala haikuchapishwa?
Back
Top Bottom