Kwanza kabisa shukrani kwa wale wote waliyotoa mawazo na michango mbalimbali.
Terminology zilizokuwa kwa paper hazikuwa ngumu sana kwa maana ya watu waliyosoma mambo ya bandari from the Scratch watakuwa wametusua.
Research haikuwepo kabisa.
Lakini pia sifa na utukufu na Heshima kwa Mungu...
Msaada please aliyewahi fanya interview huko. Mimi nimesoma Bsc. In statistics, lakini sasa tumechanganywa kozi kama zotee yaani.
Msaada msaada nifanyeje, nipeni mwangaza, hii ni first interview
ni mtu mwenye utata sana katika ngano za Kiyahudi. Jina la Lilith halijajumuishwa katika hadithi ya uumbaji wa Torati lakini anaonekana katika maandishi kadhaa ya midrashic. Ishara, historia na fasihi yake vinajadiliwa kati ya wasomi wa Kiyahudi, wanafeministi na wasomi wengine. Kuna hadithi...
Unapolala na kuamka halafu ukauona mwanga ni MUUJIZA tosha!!
Unapolala mchana au usiku kitendo cha kuwaona wanaokuzunguka ni MUUJIZA tosha!!
Kitendo cha wewe kuzaliwa na kukua hapa duniani ni MUUJIZA tosha!! Kwani kuna wengine walitupwa mitaroni, madarajani, baharini n.k
Sasa wewe sijui...
Lipende neno la Mungu usikimbilie miujiza.
Miujiza yaweza kabisa ikawa haina neno, ila neno linayo nguvu ya kusababisha miujiza
Neno namaanisha Yesu, kwa hiyo kuna miujiza ambayo haitokani na Yesu, ila ukiwa na Yesu yeye hutoa muujiza
Miujiza haiwezi badilisha akili ya mtu au uelekeo wa mtu...
Nawasalimu wote katika jina la Yesu Kristo.
Yawezekana na wewe unayesoma mahali hapa umekuwa ukijiuliza sana ni kwa namna gani nimtumikie Mungu!!
Lakini muda huu ashukuriwe Roho Mtakatifu na Kristo wake kwa kunipa neema ya kukuandikia andiko hili.
Yohana 6:28-29 (KSW)
Basi wakamwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.