Recent content by Bendeye

  1. B

    Nimegundu kuwa.....

    Na sasa wakuu wa dini wameruhusu matumizi ya mipira yetu ile, mambo yatakuwa "Mbaaaaya zaidi"
  2. B

    Kwa Wataalam wa magari

    Nani kati yenu nyote ni Inginia wa magari ili asema ukweli?
  3. B

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    Watu wngine hata haijulikani, ukungu utawatoka lini machoni!! Maskini Maina.... nakuonea huruma saaaaana. Huu ndio wakati muafaka wa kuijulisha jumuia ya kimataifa (acha Maina na akina maina wengine wenye fikra kama zako) kuwa Bongo kumekucha. Hakuna tena zile fikra za "Kidumu CCM". These are...
  4. B

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Kufanywa au kutofanywa wajinga inategemea mtu amnaelewaje na anatafsiri viti taratibu na sheria zinazosimamia eneo husika. Naamini mdogo wangu Zitto ana akili timamu na anafanya jambo bila kukurupuka kama unavyodhani. Demokrasia ni pamoja na kujua jinsi ya kuwa mwana dipromasia pia. Kijana huyu...
Back
Top Bottom