Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,432
- 119,035
...wale watu wapendao sana kuutetea uzinzi/ uzinifu ni maneno tu na wala si wazinifu kihivyo. Pia wale wapendao kuupiga vita sana ndio wenyewe haswa kwenye hayo mambo.
Unakuta mtu anatembea na mume wa mtu au mke wa mtu lakini Teamo au Aspirin wakiutetea watu hao wanakuwa mstari wa mbele kuulaani huku matendo yao hayalingani na maneno yao ya JF.
Je, huu ni unafiki ama?